Chupi imeleta kizaazaa

Chupi imeleta kizaazaa

L.o.l.... tuachane na bifu la wife... wewe ulitoka wapi kushika michupi ya watu, wewe huna kinyaa! Na ulijuaje ni ya huyo bibie...
Nilikuwa nakoga halafu ile chu pi ikaangukia ktk yale maji baada ya kujimwagia. Nimejua ni ya kwake kwasababu ni G-string na yeye yuko peke yake kwa sasa. Nalog off
 
Na hapo hapo mke wako akaingia??? we kuna kitu ulikua unafanya kwa kutumia hiyo chupi, mke wako akaskia ukianza kutoa sauti ndio akaja kuona kama uko peke yako akakukuta na chupi mkononi!
 
Hapana hakuna kitu nilichokuwa nikifanya ila my wife wangu alikuwa ananiletea Rununu yangu iliyokuwa ikiita ili niipokee. Nalog off
 
Imekaa vizuri hiyo ngoja nifanye additional kwa script niliyokuwa naandika nimpelekee kanumba asante mkuu matatizo yako yanatusaidia kula .
kwa upande mwingine nikupe pole maana yanatokea mtaani.
 
Nashukuru kwa kunipa pole,ila naomba mnipaishe basi ktk hiyo movie yenu. Je? Jina la movie litaitwaje ili munipe copy moja? Nalog off
 
Duu!! Pole xn bro, lkn huenda ulisha muonesha hali ya kuto kuwa mwaminifu kabla, labda jaribu kwenda kuwaeleza wazaz wake kilicho tokea ili wajaribu kuongea nae......atarud tu we uwe na aman!!!
 
Dah pole sana kaka. But kwa nini umweleze huyo mdada kinachoendelea kati yako na mkeo?! Si tabia nzuri hata kama ugomvi ni juu yake but usimpe advantage ya kujua. Sisi wanawake tu wa ajabu sana nahasa kama hatuelewani maana mkeo anawezakuja akamshutumu na yeye kwa hacra au kumkomoa mkeo akakubali na kulitumia hili saga kama njia ya kumthibitishia kuwa ni kweli na tena anawezasema kuwa huwa wanakutanianaga maliwatoni au akadai amekushika kiganjani mpaka vinasa unamfulia!
 
Log off kwanza!! Naona bado upo.... Lkn pole sana.. Mkeo ana wivu kama NYEGELE.
 
Duu!! Pole xn bro, lkn huenda ulisha muonesha hali ya kuto kuwa mwaminifu kabla, labda jaribu kwenda kuwaeleza wazaz wake kilicho tokea ili wajaribu kuongea nae......atarud tu we uwe na aman!!!
nashukuru kwa ushauri wako chanya.Nalog off
 
Dah pole sana kaka. But kwa nini umweleze huyo mdada kinachoendelea kati yako na mkeo?! Si tabia nzuri hata kama ugomvi ni juu yake but usimpe advantage ya kujua. Sisi wanawake tu wa ajabu sana nahasa kama hatuelewani maana mkeo anawezakuja akamshutumu na yeye kwa hacra au kumkomoa mkeo akakubali na kulitumia hili saga kama njia ya kumthibitishia kuwa ni kweli na tena anawezasema kuwa huwa wanakutanianaga maliwatoni au akadai amekushika kiganjani mpaka vinasa unamfulia!
nashukuru nimeshapoa,hakuna shaka nitafuata ushauri wako.Nalog off
 
hatutegeki! wazi kabisa...story ya kutunga hii
hautegeki wewe na nani? kwanini unashindwa kujizungumzia peke yako mpaka ujifanye wewe ndio unajua sana kuliko wengine? yaani akili zao umezishika wewe! muulize kaka yako musix,ndio utajua ya kuwa hii ni live au stori.Nalog off
 
Log off chupi kwa kuwa chanzo cha sakata, kisha mlog off binti mrembo kwa kuwa anakuchonganisha na memsap wako, ilog off hiyo nyumba kwa kuangusha chupi za watu, log off mtaa na mwisho mlog on memsap arudi.
 
we jamaa inaonyesha ni mtata sana ulianzaje kussuza kwan mwenye nayo alikuwa ameifua? na ye angeikuat mbichi c ndo mkeo angekuta mnagombana kwanin umefua chupi yake ila pole
 
Log off chupi kwa kuwa chanzo cha sakata, kisha mlog off binti mrembo kwa kuwa anakuchonganisha na memsap wako, ilog off hiyo nyumba kwa kuangusha chupi za watu, log off mtaa na mwisho mlog on memsap arudi.
ahsante kwa kulog in na kuniruhusu nilog off
 
Back
Top Bottom