Chupi imeleta kizaazaa

Chupi imeleta kizaazaa

Inamaana unaogaga mlango wazi??maana ungekua umefunga mlango angegonga na ungeitundika chupi ndo ufungue..ingekua bafu la ndani ningeelewa..

nimewaza Tu kwa sauti
Hapana Ni choo cha nje ila kwa Kuwa yeye Ni your my wife wangu ana Uhuru wa kuingia bila kubisha hodi halafu sometime huwa tuna do bafuni si unajuaga tena.
Nalog off
 
Mkuu umekuwa kimya muda mrefu. Naona kimya kirefu kina mshindo mkubwa.

Hiyo inaitwa "coincidence" .
Ni kweli mkuu nilipotea kwelikweli ila tuko pamoja kwa Mara nyengine tena.
Nalog off
 
Kama hukuwahi kufua chu pi ya mkeo iweje ufue ya huyu mpangaji!???

Unalo hilo! tatizo ni kuoa wakati bado mkiwa na mawazo ya kitoto!
Mimi sikuifua ila niliisuuza baada ya kuanguka chini
Nalog off
 
We mwehu kweli utashikaje chupi ambayo umeikuta bafuni na ulijuaje Kama Ni ya huyo binti?
Hapana mie sio mwehu mbona zimetimia,niliamua kuisuuza baada ya kuidondosha kwa bahati mbaya,halafu nilijua Ni huyo bint kwa Kuwa chupi ile ilikuwa nzuri Mke wangu hana chupi kama ile halafu tunaishi mimi,Mke wangu na yeye.
Nalog off
 
ustaarabu wa kushika chupi ya mtu mwingne! duuh hii kali..ila we muache tu mkeo akae kwao,akichoka atarudi! mwanamke asiyeelewa utapoteza muda kubembeleza!...pole lkn!

Nashukuru sana mkuu.
Nalog off
 
hahahaha kazi kweli kweli...kjirani yako hana kosa uwe mkarimu kwake na yeye kutokubali kuongeana mkeo ni sawa maana tayari wanakwaruzaa na wanawake unajua walivo....ila dalili zimekaa poa kumngoa huyo binti ila usijaribu kabisa
Nimeshamalizana naye kisela mbona,mtamu kama chupi yake.
Nalog off
 
Ni kwamba chupi za huyo mpangaji mwenzie zote anazijua na anajua gharama yake ndo maana kaifua ili asiingie gharama kununua nyingine ... F.A.LA sana huyu

Mie nilionesha ustaarabu kwa kuisuuza na kuianika tena.
Nalog off
 
Wewe ulijuaje kama ile chupi ni ya mpangaji mwenzenu kabla ya kumuuliza? Na muda wote haijaanguka mpaka wewe ulipokuwa unaoga? Mkeo hakuiona ila wewe tu ndio uliiona! Halafu kusuuza nguo (rinsing), maanake umefua.

Jifunze kutoa taarifa mapema juu ya anything suspicious.
Nilijua Kuwa ile chupi Ni ya mpangaji mwenzangu kwa Kuwa Ni nzuri INA maua maua Mke wangu hana chupi kama ile halafu haukupita muda mrefu toka yeye atoke bafuni na kuingia Mimi,Mke wangu hakuiona kwa Kuwa alipotoka bint mpangaji nikaingia Mimi Sasa yeye alikuwa anataka Ku do bafuni ndipo alipokuja na kunikuta nikiisuuza.
Nalog off
 
Nimecheka sana hapa.maana mpangaj mwenzangu ni bachela nae akifua kuful zake huzianika nje,mvua ikinyesha na acpokuwepo huwa napata wakat mgumu sana!NIMUANULIE?au niziache?
Dah! Zianue tu mkuu, ipo siku nae atakuanua, haaaaaaaaaa
 
ungeiweka pembeni tu, angekuja kuifua mwenyewe na kugundua makosa yake. yeye anawekaje chup* bafu la jumuia!!
 
Love Story ....hahahaha....kama kaondoka mkeo mchukue mwenye chu p, uishi nae, asiporudi mkeo ujue hakupendi..endelea na msahau chu p, bafuni..
 
Back
Top Bottom