Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
In any circumstance inakuwaje ushike chupi ya mwanamke mwingine hii haijakaa vema hata kidogo
mwenzio yamenikuta wewe unajitoa MUHANGA kwa kejeli hizi? Nalog off
Mkuu samahani mie nimetoka Tz zamani mno. Mulika mwizi ni nini maana yake? Nalog offyaani huyu jamaa ni mulika mwizi
Sikukusudia yanitokee haya. Nalog offumeyataka mwenyewe.
Bado nampenda my wife wangu. Nalog offPole achana nae tafuta kifaa kizuri zaidi yake weka ndani atakuja mwenyewe
Kama ulisoma basi mie ndio yameshanikuta mwenzio,subiri yakukute ndio utajua kama ni uwazi au uliofunikwa.Mwenzio akiwa ananyolewa wewe tia maji. Nalog offStory hii niliisoma kwenye gazeti la uwazi tarehe 21/02/1999.(swali kwa waliioa tu)
Mkuu kumbuka ya kuwa imedondoka ktk maji niliyokuwa nimeyakoga. Nalog offuna suuza chu pi ya mtu usiejuana nae? hicho kilanga!
Duh! Nalog offKwani umemkaribisha kwenye kampuni yako ya Udobi wa chupi za wananawake wooote hapo mtaani? Ana uwezo wa kuhesabu vidole vyake vya mikononi kwa hiyo hawezi fanya hivyo. Hii ni kwa mtu asiyeweza hesabu vidole vyake tu.
Niko Maputo mjini kiongozi we ukifika ni PM. Nalog offuko maputo sehemu gani mkuu nije kukuona nipo nampula na kesho nakuja maputo
Ahsante kwa ushauri mkuu. Nalog offPole sana kwa yaliotokea,Lakini si unajua sheria ilivyo!
Toa hasira zako kwa alieleta kizazaa
Sio kìherehere mkuu,ustaarabu ndio umeniponza. Nalog offkiherehere kimekuponza kaka wewe ungeirudisha kwenye msumari na huendelee kuoga,endelea sasa kumsuuzia kwa nafasi
Sikuifua mkuu niliisuuza baada ya kuangukia ktk yale maji machafu niliyoyakoga. Nalog offKweli huyu ndo Washawasha... Yaan mpaka unafua nguo ya ndan ya mwanamke asiye wako mmh? Ili iweje sasa na ulijuaje ni ya huyo mdada kama hujawah kuiona? Tabia hii sio njema kbsa.... Hebu jiulize kama ni ww unamkuta my wife anafua boksa sio yako? Nalog of
Nashukuru kwa kunifahamisha ila kwa huku tunakoishi inakuwa vigumu. Nalog offIn any circumstance inakuwaje ushike chupi ya mwanamke mwingine hii haijakaa vema hata kidogo
Ndio akili yako inavyokutuma.siwezi kuibadilisha. Nalog offmbona kama hadithi ya kutunga hii...
Pole sana ngosha; ngoja nikupe some pointers.
Ulifanya makosa yafuatayo:
a. Uliangalia chupi ya mtu asiye mkeo/mpenzio mara mbili - hili ni kosa ambalo wanaume wasio na watu wanaruhusiwa kulifanya lakini ukiwa na mtu wako chupi ya mwingine huikodolei mara mbili hata ikiwa imetundikwa dukani!
b. Uliifuatilia sana. Chupi ya watu ilikuwa imetundikwa muda wote huo isianguke lakini ije kuanguka wakati wewe umeenda bafuni. Hapa mkeo machale yamemcheza kiuhakika. Ni rahisi kujua kilichotokea. Ulijaribu kuiangalia ile chupi katika kile kinachoitwa "up close and personal" matokeo yake ukaitia mapovu yako na (I hope siyo kitu kingine) Ni baada ya kugundua kosa lako ikabidi uifue na hapo ndipo ulipofanya kosa la tatu.
Mkuu samahani mie nimetoka Tz zamani mno. Mulika mwizi ni nini maana yake? Nalog off