Kozi gani nzuri na chuo kipi ni kizuri, nina Certificate ya Ualimu

Lady nancy

New Member
Oct 30, 2019
1
0
Wadau naomba ushaurii nahitaji kuendelea na Diploma nina Certificate ya Ualimu nilihitimu 2016. Sijafanikiwa bado kupata ajira serikalini naomba kuelekezwa kozi gani nzuri na chuo kipi kinafaa tusome kwa manufaa ya baadae
 
Back
Top Bottom