KERO Chuo cha Mipango Dodoma: Refund za wanafunzi waliomaliza Bachelor Degree mwaka 2025

KERO Chuo cha Mipango Dodoma: Refund za wanafunzi waliomaliza Bachelor Degree mwaka 2025

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo.

Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya kueleweka na ukiangalia mwaka 2024 baada ya mahafari walilipwa hizo refunds zao.

5b5e5c21-1b3c-4cab-9d94-44b9fbf73f96.jpeg
 
Kurudisha fedha za watu Kuna mwisho?
 
Back
Top Bottom