Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Prof.Mkandala mbona sijamuelewa anaposema kwenye kupokea wanafunzi wapya watawachuja wanafunzi wenye sifa za kusoma UDSM waliobaki watawarudisha TCU, sasa hapa kati ya TCU na Chuo Kikuu cha Dar es salaam nani anayeseti standard kwa ajili ya mwenzie? hapa sasa kuna double standard aise navyoona kama kwenye alisema maneno hayo.
 
ngoja niendelee kustruggle mwanangu asije nyanyasika km hivi
Hivi masikini aponee wapi...hizo 30000 walizichukua za nini...c wangetoa tangazo mapema watu wasingeapply...huu ni wizi..na Mungu atawalipia uwizi wenu huo
 
Hivi kweli kwa mie mdaiwa wa 2006-2009, kuna sababu za kunishawishi kulipa deni langu ambalo hata sijui ni shilingi ngapi? Maana hawa bodi walichonifanyia ilikuwa hatari san
 
Hahaha. Mzee roho yako kali aseeh
 
Mkapewa mchague Elimu bure hadi chuo kikuu nyie mkachagua Elimu bure hadi form 4
 
Bora mi nimesoma kipindi kile paloja na ufisadi wote ule sikuwa na mashaka ya kupata mkopo miaka yote mitatu niliyosoma.
 
Mh. Aseeeeeeeee
Kwa hiyo itakuaje mtu akikosa mkopo akiwa mwaka wa tatu??
 
Kikwete, popote ulipo.

Kama unasoma hii post, naomba nikushukuru sana kwa sababu awamu yako hizi taabu hazikwepo. Pesa za field na pesa za matumizi tulikuwa tunazipata ontime, pia hatukusumbuliwa uhakiki wa mara kwa mara.

Nashukuru kuvuka salama degree ya kwanza kwa mkopo usio na mateso kama ya sasa.

Asante. [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…