Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,788
- 4,245
"Pesa wananua TV" By Injinia Manyanya
huyo mkurugenzi wa bodi ya mikopo unamuona bureHuyu Mkurugenzi wa bodi nae hazimtoshi.unaposema kipaumbele cha serikali kwa sasa ni viwanda kwahiyo tusisomeshe watoto? Huko TCU walipokuwa wanachaguwa wanafunzi walitegemea ada na posho ya kujikimu itatoka wapi? Endeleeni tu kuwanyanyasa hao vijana.
Duh! Hii nimeipendaWarudi Nyumba wafanye kazi viwandani.Viwanda vimeanzishwa wafabyakazi Hanna wao wako wanapiga domo vyuoni.HAPA KAZI TU
ki ukweli hali mbaya ssaana,mkwere aljitahidi sana lakin watu walikua wanamuona hafanyi kitu, ngoja tuone tofauti kidogommmh kweli mwaka huu ni shida..!!
ila huruma saana kwa hili janga
MaviwandaSasa awamu hii kipaumbele chake ni nini ?
Au anahisi ni zake binafsiViwanda
Tatizo la awamu hii ni moja Mkuu hajasoma Uchumi na washauri wake kwenye masuala ya uchumi hawasikilizwi
Kwa hyo ku-run pesa inakuwa n tatizo!
mtamkumbuka sana aliyeyasema hayo manenoKuanzia nursery mpaka university kusoma itakuwa ni bure
Na zingine wananywea bia ."Pesa wananua TV" By Injinia Manyanya
Huo ndio upungufu wa wazi alionao JPMAu anahisi ni zake binafsi
Eti wanatoa mkopo kutokana na kipaumbele cha serikal,kwahyo serikal ya kipind hik elimu sio chochote kwakeTatizo siyo bodi ya mikopo
Tatizo ni bwana mkubwa kashikilia pesa yuko bize na fly over na Bombardia
Hii Bodi ya mikopo ivunjwe tu ijulikane moja
SIO WW 2 MKUU MM PIA NATAMN KIKWETE ANGEENDELEA TU MAANA AMENISAIDIA SANAA NA WENGINE PIAKikwete, popote ulipo.
Kama unasoma hii post, naomba nikushukuru sana kwa sababu awamu yako hizi taabu hazikwepo. Pesa za field na pesa za matumizi tulikuwa tunazipata ontime, pia hatukusumbuliwa uhakiki wa mara kwa mara.
Nashukuru kuvuka salama degree ya kwanza kwa mkopo usio na mateso kama ya sasa.
Asante.![]()