Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Kipaumbele cha serikali ni viwanda na sio wanafunzi wasome. Hili janga kama PhD holder anashindwa kuwekeza kwenye elimu sijui mtu mwenye degree atafanya nn?!
Kuwa kiongozi wa Nchi unapaswa uwe umesoma uchumi na sheria na sio Kemia

Kujua/kukariri kemia haimaanishi unauwezo wa kutosha kuendesha nchi
 
Huyu Mkurugenzi wa bodi nae hazimtoshi.unaposema kipaumbele cha serikali kwa sasa ni viwanda kwahiyo tusisomeshe watoto? Huko TCU walipokuwa wanachaguwa wanafunzi walitegemea ada na posho ya kujikimu itatoka wapi? Endeleeni tu kuwanyanyasa hao vijana.
 
Tuwe na subira hata hapo bodi itakapopitia vigezo vpya, na kutoa majina
 
Ina maana hakuna mbunge ambaye atapeleka hoja binafsi bungeni kuvunja ze so called Bodi ya mikopo
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Back
Top Bottom