Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Hivi huyu baba anampango gani na hii nchi mbona amekua tofauti na alivokua anaongea au huu ni mkakati wa kuifutilia mbali ccm 2020. Hv wanaomshauri hawaoni hali ilivyotete mtaani.
 
Ajira hakuna tumekaa kitaa tunabet tu,pia wadogo zetu wanakosa mikopo wanarudi nyumbani wakati tulitegemea wapate boom japo waturushie visent vya vocha,maana sie tungekuwa na kazi japo tungewasomesha.Rudini madogo tuingie msituni hamna namna.
 
Bora waseme kila mtu ajilipie tu mtu unajiandaa kutafuta pesa au unajiandaa kukaa home kusubiri zali la mentali kuliko kusumbua watu ukiwaaminisha kuwa watapa mkopo
 
Hahahaaaa, waliojiita wasomi wa UDSM walikuja na utafiti uchwara wakati wa kampeni kwamba Jamal Paul Mkate anafaa kuwa raisi, sasa leo wanatamani wageuke vumbi maana imekuwa sawa na ili story y a Mfuga chatu aliyemezwa na chatu wake.

SAAAAAAAAFI SAAAAAAAANAAAAAA,
Waacheni waandamane eeeee, CCM mbele kwa mbeleeeeeeeee
 
Kazi kweli kweli bora tulivyojiwezea, baada ya kuona una vigezo vya kuomba chuo ulifurahi sana nina BB, BC, CC, CD. zamu ya kuomba chuo ikafika selection first round umepata ukafurahi sana kuamini ndoto zako zinaanza kutimia , wengine wakasubiria round zingine. Joto linazidi kupanda kusubiria mkono Ghafla jina lako alipo kwenye orodha ya watu waliopata mkopo ndoto taratibu zinaanza kuyeyuka. PLAN B ilikuwa kuomba nacte lakin ulipuuzia kuamini kabisa wanao enda uko ni watu ambao marks zao siyo nzuri. Hii nchi ni shida tu
 
Back
Top Bottom