Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Technically na hisi kama kuna njama zinafanyika na baadhi ya watendaji wa sirikali kuijengea chuki kwa wananchi hawamu hii..maana kuna vitu vinafanyika ambayo kwa mtu ambae ukifikiria hata dakika tano Mbele unagundua kuwa haya mambo yanafanyika kimkakati ili kumkomoa mtu flani indirectly. [HASHTAG]#Tunachokipanda[/HASHTAG] Tutakivuna
 
SIO WW 2 MKUU MM PIA NATAMN KIKWETE ANGEENDELEA TU MAANA AMENISAIDIA SANAA NA WENGINE PIA

Ni kweli. Sasa hivi complications zimezidi. UDSM waliomaliza mwaka huu kuna wengi waliofutiwa matokeo wakapewa taarifa ya kuandika barua bodi ya mkopo. Ilikuwa ni njia ya kukagua wanafunzi. Ni hatua ambayo inaonyesha utaratibu wa sasa sio sahihi.

Hivi karibuni walioandika barua matokeo yao wametoka.

Imagine hizi complications. Bado kuna ambao wamesumbuliwa na pesa ya field.
 
Technically na hisi kama kuna njama zinafanyika na baadhi ya watendaji wa sirikali kuijengea chuki kwa wananchi hawamu hii..maana kuna vitu vinafanyika ambayo kwa mtu ambae ukifikiria hata dakika tano Mbele unagundua kuwa haya mambo yanafanyika kimkakati ili kumkomoa mtu flani indirectly. [HASHTAG]#Tunachokipanda[/HASHTAG] Tutakivuna
Hela mnazo au ndio saundi kama kawaida ? Kama watendaji ni kikwazo mbona hawatumbuliwi ?
 
Mpaka leo hii bado sijajutia kumpa kura yangu LOWASSA na kuichagua UKAWA.
Anajua umuhimu wa vijana wetu kupata Elimu, Elimu, Elimu.

Haya yanayoendelea sasa, wengi wetu tulishayajua kitambo sana kuwa yatatokea. Na huu ni mwanzo tu, mazito yanakuja zaidi. Hakuna maskini atayefurahia mema ya nchi kwa style hii, maskini wataendelea kupewa matumaini hewa milele na milele.
 
========

Mkurugenzi Mtendaji wa bodi hiyo, Badru, alisema: "Baadhi ya watu wanajaribu kulinganisha idadi ya watu waliopata mikopo mwaka wa uliopita, wanasahau kwamba ni vitu viwili tofauti na kila serikali ina vipaumbele vyake na kwa sasa suala la viwanda ndiyo kila kitu.”
Serikali na watendaje wake nao naona wamevurugwa kama wananchi wao walivyovurugwa duh! Kwahiyo Viwanda vitasimama bila kuwa na wenye elimu/ujuzi? Nchi ipo pabaya na inazidi kuelekea kubaya. Kweli mtoto umdahili mwaka jana kuwa utampa mkopo, mwaka huu umnyime mkopo si kutengeneza chuki ya milele katika taifa huko?
 
Marehemu na ile wimbo wake Wa kusoma namba huwa anakumbukwa sana maeneo haya.
 
kuna baadhi ya vilaz.a pale waliisapoti CCM haswa. Sasa wacha wakaisome namba vijijini kwao
 
Duh bora hata nimesoma kipindi cha Mkwere!
Maneno yangu kila siku ni yaleyale, hakuna mbara anayeweza kuongoza nchi, huwezi ukawa unakunywa damu mbichi na kinyesi cha mbuzi na ng'ombe (kichuri) kisha uwe na akili timamu, hakuna mtu anayeweza kulala na mbuzi na ng'ombe chumba kimoja alafu uweze kuwa na ubongo mzuri, hskuna
 
Back
Top Bottom