Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Chuo cha Dar es Salaam chasitisha udahili

Serikali kwenye elimu na mambo mengine mengi tu imeangukia pua na maamuzi mengi wanayoyafanya badala ya kutengeneza ndiyo wanazidi kuharibu.
Wanasemaga "usimuige tembo"
Kwa swala la elimu bure kwakweli lowasa aliwaingiza cha kike, wamelidaka juu kwa juu tu bila kulifanyia utafiti na tathmini.
 
Hivi kwa mwendo huu tutawafikia Kenya kweli? Sijui kipaumbele cha awamu ya 5 ni kipi? Au ndio kulipa madeni
 
Wanasemaga "usimuige tembo"
Kwa swala la elimu bure kwakweli lowasa aliwaingiza cha kike, wamelidaka juu kwa juu tu bila kulifanyia utafiti na tathmini.
Umeongea point ya msingi sana Dada Evelyn hili suala wamelichukua kichwa kichwa wazazi wameacha kuchangia mzigo wote serikali imeubeba na hela hazitoshi matokeo yake ndio haya.
 
Umeongea point ya msingi sana Dada Evelyn hili suala wamelichukua kichwa kichwa wazazi wameacha kuchangia mzigo wote serikali imeubeba na hela hazitoshi matokeo yake ndio haya.
Wazazi hawajui tu hali ilivo tete, ni heri wangejishika mfukoni tu "bure ni gharama"
Siku hizi hata mitihani haifanyiki karatasi za kuchapia hakuna, hawajui tu yani hawajui!!!!
 
Kipaumbele cha serikali ni viwanda na sio wanafunzi wasome. Hili janga kama PhD holder anashindwa kuwekeza kwenye elimu sijui mtu mwenye degree atafanya nn?!

Samahani mkuu....kumekuwa na kasumba ya kulaumu tunapoangukia mara kwa mara.....sijui kwanini hatujishughulishi na kilichotuangusha!!!
Halafu.....wanafunzi wakikosa mikopo, mzigo wa kuwasomesha unarudi kwa nani? Ni nani sasa alipaswa kupasa sauti zaidi? Ingawa kama mnavyosema kuwa, "wanavyonyanyaswa na hiyo mikopo, kama wanapewa bure vile", ila Je, MIKOPO ni lazima kwa mkopeshwaji?
 
wanaotakiwa kujiunga na vyuo 24,000 majina ya mkopo first batch wamepata 3966 tena bila kuoneshwa wamepata % ngapi continous nao wanapigwa panga
only in Tanzania
 
mzee wa bagamoyo alikuwa anajua nini maana ya elimu,sasa huyu wa "masikini na wanyonge"kasahau kwamba asilimia.kubwa ya wanaoomba mikopo ni "masikini na wanyonge"ambao alisema yeye serikali yake ni kwa ajili ya hao
Si tumeambiwa watoto wa vigogo wameshapata mikopo? Wengine ngoja tuhakikiwe vyeti kwanza.
 
Mwaka huu wameshasema hawataki hela mkanunue tv na kunywa poombe
 
Back
Top Bottom