BONGE LA BWANA
Senior Member
- Apr 14, 2015
- 199
- 168
alikuwa safi sana.... safar kaz kaz hhahahSana the man was fair!
Anyway ngoja tuone maybe neema inakuja
alikuwa safi sana.... safar kaz kaz hhahahSana the man was fair!
Anyway ngoja tuone maybe neema inakuja
Ndio ukaona watu wanatilia mashaka hizo phd zao, na profesa wa Ujerumani, kweli unawezaje kumkopesha mwanafunzi for theluji 1st year kisha kunakoendelea ukamwambia hupewi pesa, vile vigezo vilivyomfanya apate awali havipo tena, wanataka wawasomeshe watoto wao waje waitawale tz wengine wawe na sindikizaji, watakuja kunyolewa bila ya maji ikifikia huko.mzee wa bagamoyo alikuwa anajua nini maana ya elimu,sasa huyu wa "masikini na wanyonge"kasahau kwamba asilimia.kubwa ya wanaoomba mikopo ni "masikini na wanyonge"ambao alisema yeye serikali yake ni kwa ajili ya hao
Viwanda vya sare za ccmSasa awamu hii kipaumbele chake ni nini ?
Mkuu anajua kuunga vyuma vya madaraja na mitaro ya maji machafuViwanda
Tatizo la awamu hii ni moja Mkuu hajasoma Uchumi na washauri wake kwenye masuala ya uchumi hawasikilizwi
Kwa hyo ku-run pesa inakuwa n tatizo!
Ndio majibu aliyopewa baada ukiomba pesa za mikopo wa wanafunzi, hapo anawasaidia wanafunzi wajue kuwa yeye siye aliyezuia pesa ni mzee wa chemical, hivyo kwa maneno hayo naye haridhiki na ujinga huu wa viwandaHuyu Mkurugenzi wa bodi nae hazimtoshi.unaposema kipaumbele cha serikali kwa sasa ni viwanda kwahiyo tusisomeshe watoto? Huko TCU walipokuwa wanachaguwa wanafunzi walitegemea ada na posho ya kujikimu itatoka wapi? Endeleeni tu kuwanyanyasa hao vijana.
Mh hivi haya ni mabadiliko ya kikemia au kimaumbo? nisaidie watalamu wa kemia
Membe alikuwa chaguo la jk baada ya kugombana na lowasa.hii ilikuwa awamu ya lowasaNimesoma comment ambayo mdau ametoa laana kwa JK na ENL kuwa beef lao na kutokusameheana ndilo likitufikisha hapa. Nami nazidi kufikiria tu, Je Bernard Membe aliekuwa chaguo la JK angefanya vizuri zaidi ya hali ilivyo au ENL was the best of them all?
tena sana tu!!kuna baadhi ya vilaz.a pale waliisapoti CCM haswa. Sasa wacha wakaisome namba vijijini kwao
umeona eeehh!!!Jk na lowassa laana za Mungu ziwe juu yenu.uhasama wenu wa kipumbavu na kushindwa kusameheana ndio chanzo cha mateso haya
hebu tuulizane!!Vipaumbele vya viwanda bila elimu?
Siku zote dhulma haishindi haki!Mpaka leo hii bado sijajutia kumpa kura yangu LOWASSA na kuichagua UKAWA.
Anajua umuhimu wa vijana wetu kupata Elimu, Elimu, Elimu.
Haya yanayoendelea sasa, wengi wetu tulishayajua kitambo sana kuwa yatatokea. Na huu ni mwanzo tu, mazito yanakuja zaidi. Hakuna maskini atayefurahia mema ya nchi kwa style hii, maskini wataendelea kupewa matumaini hewa milele na milele.
viwanda na pushapuuSasa awamu hii kipaumbele chake ni nini ?