Chuo cha "Aviation" Air Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kama Age haijapanda.
kwa nini.usisome QT?
baada ya mwaka 1 unaenda zako N.I.T

Ajira za bongo zina Tegemea Sana Cheti Cha 4m 4

Tafuta D zako 4
 

Asante Kaka πŸ‘
 
Kwa kuwa una malengo na nia unayo usikatishwe tamaa mapema na watu hasa huku jf. Pia ile kazi kama ukiwa na vigezo ambavyo wanataka utapata.
Kwa hiyo ushauri wangu jaribu kusoma QT then upate cheti cha 4m 4 alafu uende NIT kwa sababu ile koz haichukui muda mrefu sana..So miaka mi3 itakutosha kabisa kukamilisha ndoto zako...
Pambania ndoto zako kupitia wewe watajifunza hawa wanaokukatisha tamaa hapa siku unaleta mrejesho hapa..ALL THE BEST
 
Kwenye maisha, kuna ambao watakukatisha tamaa na kuna ambao watakukejeli, kamwe usije ukakatishwa tamaa kwani kukata tamaa ni kosa kwa wapambanaji.

All the best.....
 
usisumbuke naye, si unaona jina la ukoo wake ni destoyer=mhalifu. uwe unajiongeza
id za humu hazikutolewa kwa bahati mbaya
 
Inatakiwa awahi πŸ˜‚πŸ˜‚uzuri huwa unachuja ujue
 
Wakati una-apply chuo cha Aviation ni busara ujiandikishe QT ndani ya miaka miwili unafanya mtihani wa Form Four (CSEE) unasonga mbele kuomba kazi ukiwa na cheti

Najiandikisha wapi hio QT? Na inamaana nikijiandikisha mwaka huu itabidi nisubiri miaka miwili ndo niruhusiwe kufanya mtihan wa form 4?
 

Asante sn kwa ushauri wako, naomba km una details zozote khs Usajili wa QT unijulishe nimejaribu ku google sijapata details kamili
 
Kwa sasa vituo vya QT ni vingi sana hasa kama upo Dar unaweza ukatafuta shule nzuri tuu ukaomba taratibu za kujiandikisha then usome miaka miwili ufanye mtihan wa kidato cha nne..
Na kwa kuwa una nia natumain utafaulu vyema tuu

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…