Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Hapo ni rahisi sana kupata centre. Ndugu yangu ni mwalim wa shule flani hivi ya private, ntakuulizia tomorrow halafu ntakujulisha in shaa AllahNipo Dar.
Hapo ni rahisi sana kupata centre. Ndugu yangu ni mwalim wa shule flani hivi ya private, ntakuulizia tomorrow halafu ntakujulisha in shaa AllahNipo Dar.
Nenda ofisi za Baraza la Mitihani la Taifa mkabala na Shirika la Utangazaji Tanzania (maeneo ya Bamaga) watakuelekeza vizuri tuUnaishi mkoa gani??
Mimi tena? Mimi sitaki kusoma mzee baba. Kama kuna mchongo wa hela nishirikishe mimi na rafiki yangu KhantweNenda ofisi za Baraza la Mitihani la Taifa mkabala na Shirika la Utangazaji Tanzania (maeneo ya Bamaga) watakuelekeza vizuri tu
Aamyn aamynAsante sana. Mwenyezi Mungu akujaalie kheri maishani mwako.