Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 2,921
- 5,960
Hahaha Jf hiii ,je kama ni mwanaume ?
yalishaisha mkuu na tumetoka kula chakula cha harusi baada ya ftari jioni hii.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha Jf hiii ,je kama ni mwanaume ?
Kama Age haijapanda.Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wenu juu ya hili. Nataka kusomea Cabin Crew Training, chuo cha Anga cha Air Tanzania... Nina vigezo vyote na haswa Lugha ispokua sina kigezo kimoja tu.. sina cheti cha form 4. Je, hili linaweza kukwamisha kutimiza ndoto zangu? Au wanaweza wakanikubali na kunipa nafasi wakiona juhudi zangu? Naombeni ushauri wenu. Ahsanteni.
Jaribu ku google huwa zinatokea nafasi za Emirates cabin crew. Au ingia youtube ukitaka kuwa cabin crew sheria zao zikoje? Hizo naongelea ndege za Qatar au Emirates ( wanalipwa vizuri na unasafiri all over the world) Nafikiri muhimu lugha na umri na ujue kujielezea na kujiamini kwa sana. Kuna sehemu ya ku apply ukifanikiwa wanakufanyia wenyewe training
Hakuna kozi ambayo anakigezo cha kusomea hapo NITnenda NIT utapata maelezo ya kutosha
usisumbuke naye, si unaona jina la ukoo wake ni destoyer=mhalifu. uwe unajiongezaSamahani Sihitaji kuolewa kwa sshv, na kama nikihitaji kuolewa basi sitotafuta mume hapa mtandaoni. Na kigezo cha Uzuri Mungu kanijaalia pia ndomana nikasema vigezo vyote ninavo isipokua hiko kimoja tu, ninachotaka ni msaada wenu na mawazo yenu sio kunisanif Kaka please usihukumu usiemjua, hujui Maisha yangu wala matatizo yangu, Kazi ni muhimu zaidi kwangu ndoa baadae ikifika muda aloniandikia Mungu.
usisumbuke naye, si unaona jina la ukoo wake ni destoyer=mhalifu. uwe unajiongeza
id za humu hazikutolewa kwa bahati mbaya
Yy kasema anilipe mshahara kwa kuolewa hajasema mshahara kwa ajira, mm thread yangu inahusu kazi sio ndoa. Ndoa sio solution, what if aniowe then tuje kuachana si tatizo langu litabaki palepale. Nataka niwe na kipato changu mm mwenyewe. Hela ya Mwanaume ni Bonus tu.
Inatakiwa awahi 😂😂uzuri huwa unachuja ujueKwa kuwa una malengo na nia unayo usikatishwe tamaa mapema na watu hasa huku jf. Pia ile kazi kama ukiwa na vigezo ambavyo wanataka utapata.
Kwa hiyo ushauri wangu jaribu kusoma QT then upate cheti cha 4m 4 alafu uende NIT kwa sababu ile koz haichukui muda mrefu sana..So miaka mi3 itakutosha kabisa kukamilisha ndoto zako...
Pambania ndoto zako kupitia wewe watajifunza hawa wanaokukatisha tamaa hapa siku unaleta mrejesho hapa..ALL THE BEST
Wakati una-apply chuo cha Aviation ni busara ujiandikishe QT ndani ya miaka miwili unafanya mtihani wa Form Four (CSEE) unasonga mbele kuomba kazi ukiwa na chetiAsante nimeelewa Kaka
Wakati una-apply chuo cha Aviation ni busara ujiandikishe QT ndani ya miaka miwili unafanya mtihani wa Form Four (CSEE) unasonga mbele kuomba kazi ukiwa na cheti
Unaishi mkoa gani??Najiandikisha wapi hio QT? Na inamaana nikijiandikisha mwaka huu itabidi nisubiri miaka miwili ndo niruhusiwe kufanya mtihan wa form 4?
Kwa kuwa una malengo na nia unayo usikatishwe tamaa mapema na watu hasa huku jf. Pia ile kazi kama ukiwa na vigezo ambavyo wanataka utapata.
Kwa hiyo ushauri wangu jaribu kusoma QT then upate cheti cha 4m 4 alafu uende NIT kwa sababu ile koz haichukui muda mrefu sana..So miaka mi3 itakutosha kabisa kukamilisha ndoto zako...
Pambania ndoto zako kupitia wewe watajifunza hawa wanaokukatisha tamaa hapa siku unaleta mrejesho hapa..ALL THE BEST