Chumvini na kugharamia sio kigezo cha kutulizana

Chumvini na kugharamia sio kigezo cha kutulizana

Pole mkuu kwahivyo vingine unahaki yakulalamika, lakini wenzio chumvini tunazama kwa starehezetu na siyo kigezo chakumfanya asikuache/kukusaliti
Acha uongo hakuna starehe hapo,n kulipa fadhila tu baada ya wew kunyonywa dushe
 
Yesu ni Mungu katika mwili na roho, hivyo Yesu ni Mungu [kwa tunaoamini hivyo].... naye hakuwahi kuoa bali aliishia kujiita mume wa wajane tu.

Kama yesu ni Mungu mbona pale msalabani kuna mstari mmoja hivi lakini siukumbuki vizuri maana sio mdomaji sana wa Biblia si unajua tumekatazwa mikusanyiko ya watu wengi maana kule naweza kukutana na HERODE bila kumsahahau Pilato

Ngoja niende kwenye swali langu mkuu mbona pale msalabani alipokuwa anachomwa zile mikuki akalia na kusema "Mungu wangu mbona umeniacha" sasa hapo mkuu ndiyo tuseme Mungu alikuwa anajililia mwenyewe"

Kwa hiyo na mimi kwa mfano nikipata hii corona naweza kujililia mimi mwenyewe kwa kusema "msukuma mbona umeniacha" hivi hapa si nitaonekana chizi

Mimi naamini Mungu ni Mungu na Yesu ni Yesu kwa maana hiyo basi kwenye ile amri sijui ya ngapi inasema USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO kwa nini wasiandike usilitaje bure jina la yesu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kulipa Kodi, nauli, nywele, kila mwezi wazazi 30k Kula yake na kiusomesha wadgo zake na kujitahidi Kwa show Kali Hadi kufikia kuzama chumvini Ila bado mwanamke anakuambia yeye kazoe kuwa na wanaume wengi hawezi kuwa na bwana mmoja kabisa, hii ni baada ya kufumania zaidi ya mara tatu.

Kwakweli ni vizuri kuanza na Mungu mwenye mapenzi na sio kuvamia Tu. Nimejifunza ngoja nianze kumtumikia Mungu na kufanya kazi Kwa bidiii nitapata WA kufanana nami.
CHAI.
 
Aisee uliwezaje kufanya yote hayo na bado asikupende , pole sana
 
Baada ya kulipa Kodi, nauli, nywele, kila mwezi wazazi 30k Kula yake na kiusomesha wadgo zake na kujitahidi Kwa show Kali Hadi kufikia kuzama chumvini Ila bado mwanamke anakuambia yeye kazoe kuwa na wanaume wengi hawezi kuwa na bwana mmoja kabisa, hii ni baada ya kufumania zaidi ya mara tatu.

Kwakweli ni vizuri kuanza na Mungu mwenye mapenzi na sio kuvamia Tu. Nimejifunza ngoja nianze kumtumikia Mungu na kufanya kazi Kwa bidiii nitapata WA kufanana nami.
Pole you Grasped a Gold-digger. Mnawaokotaga wapi? Wewe alikuwa hakupendi ukajitia na vishilingi vyako kulazimisha penzi. Kama hupendwi hupendwi tu usilazimishe mwisho wa siku utakataa tamaa na kuona wanawake hawafai kumbe shida iko kwako. Wewe ulidhani pesa zalo ndio zitakutoa.
 
Muwe mnaihurumia mioyo yenu, msiibebeshe mizigo mizito ya mapenzi kuliko uwezo wake. Ndiyo baadae mkitendwa mnaona kama Mungu hayupo upande wenu! Msiwekeze moyo kwenye mapenzi.

Huwa naumia sana kuona mwanaume mwenzangu akiumizwa au kujeruhiwa kisa mapenzi, kwasababu najua mambo mengi yatasimama kiutendaji na pia naamini wanaomtegemea ni wengi mno ukiachana na huyo aliyemjeruhi.

Hesabu hatua zako kwa kila level unayofikia. Hebu fikiria umemkamata mara 3 lakini bado unaendelea naye tu! Ndugu, hata kama ni mke wako piga chini tu, mwisho wako hautakuwa mzuri kabisa.

Alafu, hayo uliyoyataja hata kama unayafanya, si kigezo kwamba hutaachwa, wapo wengi waliachwa na wanatekeleza hata zaidi ya hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume maboya wa hivi wanataka kutuonesha kuwa wanawake ni wabaya. Huyu jamaa ana matatizo. Hawezi kutongoza kwa hiyo yeye akakaa hapo hapo penye mteremko akidhani vipesa vyake anavyotoa vitamlinda.

Ukishaona mwanamke hakupendi mpaja umlipie kodi, nywele sijui na vocha hapo kimbia hakuna mwanamke hapo.
 
Back
Top Bottom