Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,404
- 29,370
Hahahhaahah roho haijawahi kuoa, Kula, kutamani hayo ni ya mwilini Mkuu, Mungu ni roho, asante Kwa mchango
Yesu ni Mungu katika mwili na roho, hivyo Yesu ni Mungu [kwa tunaoamini hivyo].... naye hakuwahi kuoa bali aliishia kujiita mume wa wajane tu.