Chumbia binti mpenda vitabu

Chumbia binti mpenda vitabu

natafuta mchumba
sifa:
1.awe mpenda vitabu.,kwa mwenye sifa na aliye tayari aniPM tafadhali
 
Alafu nina zawadi yako ya kitabu cha rasimu ya katiba mpya na kitabu cha cyber crimes...

rasimu ya katiba na mim wapi na wapi mwaka jana nilipewa kwe ofis za PCCB lakin kipo ndan tena kipyaaaa na hicho cua cyber crimes nadhan kitakuwa kikubwa sana mim na kesi wapi na wapi bai ze wei nashukuru sana naomba nitafutie vya story za mapenzi
 
Good thread.. ila walimu wa primary school waanze kujenga tabia ya kuwahimiza watoto wasome vitabu..kwa sasa dunia inawafundisha kusoma udaku
 
Napenda saana kusima, sanaaa, lakini siwezi kuowa mwanamke anayependa vitabu, mambo hayatakwenda!

Umeona eeh... Kama mie napenda kusoma vitabu ila sitaki mwanaume mpenda kusoma vitabu. Vinachukua attention sana!
 
rasimu ya katiba na mim wapi na wapi mwaka jana nilipewa kwe ofis za PCCB lakin kipo ndan tena kipyaaaa na hicho cua cyber crimes nadhan kitakuwa kikubwa sana mim na kesi wapi na wapi bai ze wei nashukuru sana naomba nitafutie vya story za mapenzi

story za mapenzi hukawii kulia, sikuiz hamna love full maigizo...
 
Kweli eeh? Enzi nasoma sekondari nlikuwa napenda sana kusoma vitabu ila saiv jeiefu imenivuruga ngoja nirudi

Nina novel zaidi ya elfu tatu kwenye kindle, sema interest yako nichambue nikutumie.
 
Umeona eeh... Kama mie napenda kusoma vitabu ila sitaki mwanaume mpenda kusoma vitabu. Vinachukua attention sana!

Weekend mnaweza kujikuta mpaka saa sita hakuna aliyeinuka kitandani na hakuna aliyemwongelesha mwenie!! kitabu kinakumeza unakuwa kama na wewe ni moja ya characters, unakuwa haupo pale ulipo mtu anaweza kukuita mara mbili bila kumsikia!
 
Kama ofa inaweza kunihusu, nahitaji anything john grisham latest. Jackie Collins too. Thriller, investigative novels, organized crime
Nina novel zaidi ya elfu tatu kwenye kindle, sema interest yako nichambue nikutumie.
 
Kuwa na mke msoma vitabu ni safi sana, kwani haishi mawazo mapya yanayoweza kusaidi maendeleo ya familia haraka! Pia atakuwa ni mtu mwenye kuweza kufikiri kabla ya kufanya kitu! Kipindi cha nyuma nilikuwa msomaji mzuri sana wa vitabu lakini miaka michache ya nyuma sijui kwa nini nimepoteza interest, itabidi nijirudi nianze afresh!
 
rasimu ya katiba na mim wapi na wapi mwaka jana nilipewa kwe ofis za PCCB lakin kipo ndan tena kipyaaaa na hicho cua cyber crimes nadhan kitakuwa kikubwa sana mim na kesi wapi na wapi bai ze wei nashukuru sana naomba nitafutie vya story za mapenzi

Yeah?!!!
If you like them soft ol school, try Gone With The Wind-Margaret Mitchell, Pride and Prejudice-J. Austen, or Women in Love-D Lawrence, au unaweza kusoma stori ya lesbians The Well of Loneliness-R. Hall, au kamata 50 Shades za EL James naona sku hizi imekuwa kama fashion kwa wadada kama hajasoma hiko basi yuko nyuma ya wakati. Kama unapenda hard erotic soma Baise-Moi - V Despentes, Delta of Venus-A Nin, The Story Of O (jajajajajajajaja!!!!..ogopa), Tropic of Cancer-H Miller, eh eh eh! Kama haujawahi kusoma hata kimojawapo kati ya hivyo basi haujawahi kusoma novel ya love story!
 
Nani ni best writer wa suspense now baada ya Sidney Sheldon kufa?
 
Kama ofa inaweza kunihusu, nahitaji anything john grisham latest. Jackie Collins too. Thriller, investigative novels, organized crime

Latest niliyonayo ya Grisham ni Sycamore Row (2013),
zingine za nyuma :
The Appeal (2008)
The Associate (2009)
The Confession (2010)
Calico Joe (2012)
The Racketeer (2012)
na nyingine nyingi. sijui ni ipi haujaisoma mkuu. investigative napenda kumsoma Ian Fleming nnazo kadhaa, pia John Gardner. niinbox email yako mkuu nikikaa kwenye pc nitakutumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom