Chumbia binti mpenda vitabu

Chumbia binti mpenda vitabu

Yeah?!!!
If you like them soft ol school, try Gone With The Wind-Margaret Mitchell, Pride and Prejudice-J. Austen, or Women in Love-D Lawrence, au unaweza kusoma stori ya lesbians The Well of Loneliness-R. Hall, au kamata 50 Shades za EL James naona sku hizi imekuwa kama fashion kwa wadada kama hajasoma hiko basi yuko nyuma ya wakati. Kama unapenda hard erotic soma Baise-Moi - V Despentes, Delta of Venus-A Nin, The Story Of O (jajajajajajajaja!!!!..ogopa), Tropic of Cancer-H Miller, eh eh eh! Kama haujawahi kusoma hata kimojawapo kati ya hivyo basi haujawahi kusoma novel ya love story!

uwiiiiii
 
Ushawahii kutana nae wapiii??

Hapahapa Bongo Mkuu, tena siyo mara moja!
Mara ya mwisho nilikaa na dada mmoja safarini, mimi nikawa busy nasoma kwenye kindle, yeye akawa busy anasoma hard copy, zaidi ya salamu hatukuongea kwa muda wa kama masaa matatu, baadaye ufukunyuku ukaingia nikawa napiga jicho kuchungulia anasoma kitabu gani, huwezi amini nilichoona ilibidi nitabasamu mpaka akaniangalia, alikuwa anasoma kitabu ambacho sijawahi kumskia mwanamke anakiongelea, achilia mbali kukisoma, The Art of War - Sun Tzu!! Tukaanza kupiga story nikagundua amesoma vitabu vingi sana, we ended up being friends, siku nimefika kwake nikavua kofia, study room kwake shelf zimejaa vitabu! Kila mtu ana ugonjwa wake mkuu, mwingine hata kununua movie hawezi, mwingine anajua movie zote zitazotoka mwakani!
 
Kuwa na mke msoma vitabu ni safi sana, kwani haishi mawazo mapya yanayoweza kusaidi maendeleo ya familia haraka! Pia atakuwa ni mtu mwenye kuweza kufikiri kabla ya kufanya kitu! Kipindi cha nyuma nilikuwa msomaji mzuri sana wa vitabu lakini miaka michache ya nyuma sijui kwa nini nimepoteza interest, itabidi nijirudi nianze afresh!

Ni kweli.usomaji wa vitabu ni muhimu ku increase knowledge kutoka sources tofauti tofauti ila Kwa Watanzania kusoma ni janga la kitaifa watu wanasoma desa ili wafaulu usomaji vitabu mzuri
 
Hapahapa Bongo Mkuu, tena siyo mara moja!
Mara ya mwisho nilikaa na dada mmoja safarini, mimi nikawa busy nasoma kwenye kindle, yeye akawa busy anasoma hard copy, zaidi ya salamu hatukuongea kwa muda wa kama masaa matatu, baadaye ufukunyuku ukaingia nikawa napiga jicho kuchungulia anasoma kitabu gani, huwezi amini nilichoona ilibidi nitabasamu mpaka akaniangalia, alikuwa anasoma kitabu ambacho sijawahi kumskia mwanamke anakiongelea, achilia mbali kukisoma, The Art of War - Sun Tzu!! Tukaanza kupiga story nikagundua amesoma vitabu vingi sana, we ended up being friends, siku nimefika kwake nikavua kofia, study room kwake shelf zimejaa vitabu! Kila mtu ana ugonjwa wake mkuu, mwingine hata kununua movie hawezi, mwingine anajua movie zote zitazotoka mwakani!

Mi nlikuaga na haka katabia ila sijamzidi huyo dada...mi napenda sana kusoma vitabu sema saivii mazingra yamenibana sana mpaka naingiwa na kiuvivu! But nliplan huu mwaka usiishe kabla cjamaliza kusoma vijitabu vitatu..hihiih
 
kweli kuna wakati ratiba zinabana. mimi hata iweje ni ngumu kutofikisha vitabu vinne kila mwezi, nikibanana sana japo napolala kitandani usiku lazima nisome hata nusu chapter!
 
kweli kuna wakati ratiba zinabana. mimi hata iweje ni ngumu kutofikisha vitabu vinne kila mwezi, nikibanana sana japo napolala kitandani usiku lazima nisome hata nusu chapter!

We mkareee, Mimi Hata thread yako sijaimaliza
 
nimesoma kwa miaka 21, nisome tena?

Labda kama tusome mambo 'kulainishana'.

Duh, anaanzaje kuogopa kuomba haki ya binadamu?

So now uko na mishe tu nyingine, no books any more ?

hata zile short stories mamii hamna?
 
labda kama tunasoma kwa viungo.vya uzazi lakini machoni kwa sasa nimepumzika.

Nasoma lakini sio stories saana, mambo mengine mengine tu kama afya, biashara, historia n.k.

Labda kitu interesting kwangu ni kufanya tafiti ndogo ndogo za mambo yanayozunguka jamii yangu. Tatizo hapa ni time na funds.

So now uko na mishe tu nyingine, no books any more ?

hata zile short stories mamii hamna?
 
Very good thread

Indeed, but we have the fruit-cakes (the likes of lara1) wanaowaharibu watoto kua the-union-between-a-man-and-a-woman whether temporarily or permanently have to revolve around 'material' things especially money and the toys money can buy!
 
unanivuruga Mentor asa point iko wapi hapo yan unamaanisha tusiosoma vitabu hatufai au

Na ni watu wachache sana watakaoelewa maana ya hii!

read instead.jpg
 
labda kama tunasoma kwa viungo.vya uzazi lakini machoni kwa sasa nimepumzika.

Nasoma lakini sio stories saana, mambo mengine mengine tu kama afya, biashara, historia n.k.

Labda kitu interesting kwangu ni kufanya tafiti ndogo ndogo za mambo yanayozunguka jamii yangu. Tatizo hapa ni time na funds.

But of course Kongosho, mimi tangu January nimesoma story (novel) moja tu but I have read other educational materials pia..to widen up my knowledge...I am now reading 'Books that changed the world'

As age & responsibility zinapoongezeka hata material za kusoma zinabadilika. I wouldn't epect kukukuta uking'ang'ana kusoma 'mills & boons' sasa hivi...heheh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom