Yaelekea Nyumba bado iko kwenye matengenezo na anaelala hapo pengine Mlinzi, au Fundi/Mafundi.
Hii inanikumbusha kipindi niko Mdogo, Mjengo wetu makazi mapya wakati unajengwa kitambo hiyo Walinzi wa Mijengo walikuwa Wamakonde na si Wamasai kama siku hizi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.