Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Mmmh sikuwah kuamino ila ;fanyakazi mwenzangu amechukua lilizo lwa ajili ya hili;;ana bucha za samaki sasa ikawa mauzo yanaenda tofauti na mzgo uliouzwa;;imewatokea mara sita akaamua kumweka ndugu pesa wanapokea wanaandika anaweka kwenye droo ikifka jion waliochandika kwenye daftar na pesa iliopo tofauti ikawa mara tatu lkwa ndugu sasa jamaa amepga simu baada ya kulkaa mwenyewe siku saba kwamba kuna majini yanachukua h yake nkamwambia hiyo ironleta wala usichoke ;;mm

Kaka ni pm nimsaidie kitu ata kaa anisahau
 
Ha haa haaa,mleta mada,umenikumbusha siku mmoja,kondakta,ilibidi amruhusu mzee mmoja,ambaye kimwonekano alikuwa amechoka kimaisha,apande tu bure,baada ya yule mzee kutoa noti ya sh.5000/=

Yule mzee aliposhuka,konda alianza kusema hawa wazee wengine ni kamati za ufundi,muacheni tu aende,sh 350/= kitu gani...
 
Mkuu Pdidy, unataka hii dawa kwa ajili ya kusaka vipaji vipya au? Mbona wasanii uchwara wa bongo fleva kibao wamejazana Tandale na Mbagala na wala hawachukuliki kwa chuma ulete, bangi na unga tu unawatosha.
 
Last edited by a moderator:
mkuu pdidy, unataka hii dawa kwa ajili ya kusaka vipaji vipya au? Mbona wasanii uchwara wa bongo fleva kibao wamejazana tandale na mbagala na wala hawachukuliki kwa chuma ulete, bangi na unga tu unawatosha.
haaaahaa mkuu nimechekea nasikia haja kubwa na niko kwenye basi la mbagala kwanza mataa ya changombe nishauri
 
haaaahaa mkuu nimechekea nasikia haja kubwa na niko kwenye basi la mbagala kwanza mataa ya changombe nishauri


Ungao unao? Kama unao basi we shuka tu pale Mbagala/Charambe utawaona wasanii kibao waliokosa soko la kuropoka redioni. Wae unga wa kubwia na uwape ahadi feki nyingi baada ya muda tu utaona jinsi utakavyo tajirika wakiwa wanakubebea unga kupeleka south afrika.
 
bora ya hiyo ya chuma ulete chamtoto -- kuna jamaa mke wake anatembelewa na jini mahaba!! wakiamuka kuwasha taa usiku wanakuta jini limeshafanya kazi yake; yaani ndoa ipo mashakani, kwa waganga imeshindikana; kanisani umeshindikana; yaani balaa tupu.
kwa mungu wa kweli hakuna kinacho shindikana ila makanisani vingi sana huwa vinashindikana(tafadhari naomba mnielewe vizuri)
 
Back
Top Bottom