Chuma Ulete: Ni kweli ipo? Ipi dawa ya kuidhibiti?

Ironleta nimelipenda hili jina na mwenye data za chimbuko la hii kitu atujuze
 
Mmmh sikuwah kuamino ila ;fanyakazi mwenzangu amechukua lilizo lwa ajili ya hili;;ana bucha za samaki sasa ikawa mauzo yanaenda tofauti na mzgo uliouzwa;;imewatokea mara sita akaamua kumweka ndugu pesa wanapokea wanaandika anaweka kwenye droo ikifka jion waliochandika kwenye daftar na pesa iliopo tofauti ikawa mara tatu lkwa ndugu sasa jamaa amepga simu baada ya kulkaa mwenyewe siku saba kwamba kuna majini yanachukua h yake nkamwambia hiyo ironleta wala usichoke ;;mm

AMPOKEE YESU! Damu ya Yesu Hapo ni sekunde tu tena mapato yataongezeka kama yule mvuvi aliyeshngaa samaki kibao!! ama mikate mitano na samaki 2 kulisha watu 5000 kuondoa watoto na wanawake!!!
 
Wanaojua dawa za kuzuia chumaulete tuambie zinapatikana wapi na bei gani? Acheni uficho hizo dawa sio magendo
 
jamani kama kuna mtu anayejua jinsi ya kuzuiya chuma ulete aniambie maana naona biashara yangu inafirisika siamini sana waganga wa kienyeji nahisi ndo watadi kunifirisi kuna jamaa mmoja aliniambia mkaa uliotumika naona haijanisaidia wadau nijuzeni njia nyingine ya kuzuiya hii kitu
 
jamani kama kuna mtu anayejua jinsi ya kuzuiya chuma ulete aniambie maana naona biashara yangu inafirisika siamini sana waganga wa kienyeji nahisi ndo watadi kunifirisi kuna jamaa mmoja aliniambia mkaa uliotumika naona haijanisaidia wadau nijuzeni njia nyingine ya kuzuiya hii kitu

huamini waganga, ila unaamini chumaulete!!!!!!! ???????? . Huyo chuma ulete umemuona? umemnusa? umemsikia? umemgusa? umemuonja!
 
NATUMAI U BUHERI WA AFYA NJEMA,ndugu yangu katika post yako sija jua kama uko serious katika hili pia post yako ina limitaion hiv unamjua anaye tengeneza chuma ulete?

pia huwamini waganga siku zote anaye weza kutengeneza anaweza kuharibu na kushauri kama kweli fanya hivi, chukua chumvi sio ya kuunga kwenye mboga ile yenye mabonge makubwa makubwa ambayo hutumika kama chakula cha wanyama chukua vibonge hata vitano rushia kwenye moto kila asubuhi unapoenda kufanya biasha ama kama katika biashara yako kunawatu wanapenda kuomba chenji kwako achakuwapa chenji ama weka chumvi katika droo ya pesa zako chumvi nayo zungumzia sio uliyoizoe bali ni ile ya mabonge makubwa au mawe

KUJUA DAWA SIO UCHAWI UCHAWI NIMATUMZI MABAYA YA DAWA.bure kuamini wala si lazima,
 
njia ziko nyingi tu kama unakaa uswazi , moja ya yote ukiletewa hela na labda ukahisi ni ya mazabe(chumaulete), ichukue hiyo hela na hasa ni noti kabla hujachanga na zingine, kisha ichane pembeni kidogo na kale kakipande katupe basi hapo chuma ulete umempiga boya kwani hela inatakiwa iwe moja na kale kakipande ni hela , hachukui kitu
 
Mimi kuna rafiki yangu tena bishoo tu mtu wa wanawake sana alifanya chuma ulete mbele yangu akaibia mtu elfu kumi baada ya kumuomba jamaa flani elfu moja. Tukapata mlo wa mchana kwa ile pesa ya chuma ulete, nlishangaa sana inawezekanaje kumuibia mtu pesa kutoka mfokoni kwake kuja kwako.

Sikua na nia mbaya ila kwa udadisi nlimuomba anifundishe, jamaa akakataa akidai ina effect zake kwenye akili mtu anakua kama zezeta ukimpiga chuma ulete na ndo unakua umemfungulia mlango kwa chuma ulete wengine.

pia akasema kama hujazoea inakupa hisia kali sana wewe unaefanya chuma ulete unaweza hata kulia.

sasa wataalam wa haya mambo na meditions hebu tupeni A to Z kuhusu CHUMA ULETE na ufanye ni kuzuia dukani kwa wafanya biashara??

Je ni uchawi au mind power
 
Back
Top Bottom