ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,297
- 40,971
😁👊Marahaba!
😁👊Marahaba!
Safiini nzuri maana pia najua atakua karibu na bintiyake kwasababu mabinti kwa baba zao huwaambii kitu
Matumizi makubwa
Vyakula
Vinywaji
Vipodozi
Unataka kunipiga😁
Wanasema mshangazi kua mwembamba ni uhainiDuh kumbe 30 ni mishangazi, basi awe mwembamba.
Mbona wapo, beside sifagilii vibongeWanasema mshangazi kua mwembamba ni uhaini
Mambo ya vijana wavivu wavivu , na walio jikatia tamaa hayo
InachoshaPrevious one
Hao hawaitwi mishangaziMbona wapo, beside sifagilii vibonge
si mmesema akiwa 30 ni mshanganzi?, basi binti kiziwi ni top class maana ka balance.Hao hawaitwi mishangazi
Hao ni watu wazima walio komaa
Kwa mjibu wa wadau
Mshangazi uwe na T 3 😁
Hivyo yaani! 😎.Haaaaaaaaaaaah mishangazi noma
Huyu Dad kwa miaka 30 kuita mshangazi hii ni chai 😁si mmesema akiwa 30 ni mshanganzi?, basi binti kiziwi ni top class maana ka balance.
Sio kanene, sio kembamba, woii t3 ndio nini?
😂😂😂😂😂😂.