Kaswende imemla mpaka miguu 🔥
wajee tuelezeeSasa huwa mnafanyaje hadi mfike ikweta? Au mnapapatua!?View attachment 3590167
Aiseee leo umejua kutufurahisha Ma Gen Zee .... Uachane na stori zako za mizimu 😂
So what is next move?Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee.
Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa kiumri (kawaida miaka 30 hadi 45+), wanaojitegemea kiuchumi, warembo, na wanaojiamini.
🌟 Sababu za Mishangazi Kupendwa na VijanaVijana wengi wa kiume (hasa wa vyuo au wanaochipukia) wamejikuta wakivutiwa zaidi na mishangazi kuliko wasichana wa umri wao kutokana na sababu zifuatazo:
Ukomavu wa Akili:
Hawana drama ndogo ndogo au wivu usio na msingi. Wanajua namna ya kutatua migogoro kwa utulivu
Uwezo wa Kiuchumi:
Tofauti na wasichana wadogo, mshangazi haombi nauli, hela ya kusuka, wala ya vikoba.
Mara nyingi wao ndio hutoa sapoti ya kifedha au mitaji kwa vijana.
Ushauri wa Maisha:
Wana uzoefu mkubwa wa maisha. Wana uwezo wa kumjenga kijana kifikra, kumpa mawazo ya biashara, na kumsaidia "kutoboa"
kimaisha.
Ukomavu wa Kimahusiano: Wanajua namna ya kujali, kuthamini, na kumpa mwanaume amani ya roho bila keleleView attachment 3590157
Mishangazi ndio wanaitwa CHUMA CHAKAVU sio siku izi gentleman?🤣Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee.
Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa kiumri (kawaida miaka 30 hadi 45+), wanaojitegemea kiuchumi, warembo, na wanaojiamini.
🌟 Sababu za Mishangazi Kupendwa na VijanaVijana wengi wa kiume (hasa wa vyuo au wanaochipukia) wamejikuta wakivutiwa zaidi na mishangazi kuliko wasichana wa umri wao kutokana na sababu zifuatazo:
Ukomavu wa Akili:
Hawana drama ndogo ndogo au wivu usio na msingi. Wanajua namna ya kutatua migogoro kwa utulivu
Uwezo wa Kiuchumi:
Tofauti na wasichana wadogo, mshangazi haombi nauli, hela ya kusuka, wala ya vikoba.
Mara nyingi wao ndio hutoa sapoti ya kifedha au mitaji kwa vijana.
Ushauri wa Maisha:
Wana uzoefu mkubwa wa maisha. Wana uwezo wa kumjenga kijana kifikra, kumpa mawazo ya biashara, na kumsaidia "kutoboa"
kimaisha.
Ukomavu wa Kimahusiano: Wanajua namna ya kujali, kuthamini, na kumpa mwanaume amani ya roho bila keleleView attachment 3590157
MamaeeeeeeHaya jipakulie minyamaView attachment 3590184
Dan😋! Huyu kama nimemuelewa vile😂🙌🏿🏃🏿Pole toto subiri mjomba atoe chochote kitu!
View attachment 3590189
UnyamaPole toto subiri mjomba atoe chochote kitu!
View attachment 3590189
asante mwalimu, nilitaka kujiridhisha tu 👊Tafsida iyo
Haya tangulia geto 😄Unyama