Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,716
π€£π€£π€£Daaaah aiseeeee
ππππππππππππ
Mkuu ujue nini mpaka sasa nipo na mshangazi bunju huku
π€£π€£π€£Daaaah aiseeeee
ππππππππππππ
Mkuu ujue nini mpaka sasa nipo na mshangazi bunju huku
Hapo kwenye mguu ameungua na nini, au ndio uchuma chakavu wenyewe?Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee.
Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa kiumri (kawaida miaka 30 hadi 45+), wanaojitegemea kiuchumi, warembo, na wanaojiamini.
π Sababu za Mishangazi Kupendwa na VijanaVijana wengi wa kiume (hasa wa vyuo au wanaochipukia) wamejikuta wakivutiwa zaidi na mishangazi kuliko wasichana wa umri wao kutokana na sababu zifuatazo:
Ukomavu wa Akili:
Hawana drama ndogo ndogo au wivu usio na msingi. Wanajua namna ya kutatua migogoro kwa utulivu
Uwezo wa Kiuchumi:
Tofauti na wasichana wadogo, mshangazi haombi nauli, hela ya kusuka, wala ya vikoba.
Mara nyingi wao ndio hutoa sapoti ya kifedha au mitaji kwa vijana.
Ushauri wa Maisha:
Wana uzoefu mkubwa wa maisha. Wana uwezo wa kumjenga kijana kifikra, kumpa mawazo ya biashara, na kumsaidia "kutoboa"
kimaisha.
Ukomavu wa Kimahusiano: Wanajua namna ya kujali, kuthamini, na kumpa mwanaume amani ya roho bila keleleView attachment 3590157
Hata huu ila umenyooka sana hata kuoa unaoa tu, shida ni PCOS na Myomasπ
Hili langu linaweza mkuu.. balaa hadi manzi yangu ya uhakika sifurahii kama ninavyofurahia nayeSasa si unaweza kutoka vigimbi? Na singida dodoma.. Singida dodoma yanaweza kweli!?π
Kwaio hakuna MSHANGAZI mwembambaπ€
Ndo maana nasema wewe utengweee! π.Daaaah aiseeeee
ππππππππππππ
Mkuu ujue nini mpaka sasa nipo na mshangazi bunju huku
Hakuna, Sifa ya Mshangazi ni T3, na umri kama kigezo cha faida.Kwaio hakuna MSHANGAZI mwembambaπ€
Lenyewe sio tipwa sana anafanana na madam rita vilevile sema liongezeke nyama .Hili langu linaweza mkuu.. balaa hadi manzi yangu ya uhakika sifurahii kama ninavyofurahia naye
Huu mshangazi unapenda mapenzi kuliko kula...Ndo maana nasema wewe utengweee! π.
Wengine wanazeeka kabla ya umriππΏππΏ
daah binti haonekani sana skuizi, binafsi nimemkumbukaUlikuwa wapi mwanangu mkwe wangu chai ya rangi hana raha kabisa
Kwamba wewe ni mshangazi ila mwembamba mailodiiiiπππNdio
Mshangazi mie sio mneneπ€£π€ͺ
Dogo vipi nasikia umemaliza form 4 sasa hivi?!Huu mshangazi unapenda mapenzi kuliko kula...
Sema nayakamiaga sana mpaka inakua so poa kuna mmoja mpaka akatapika aiseeee..
Akawa akiniita anahakikisha siku hiyo halo akashiba sana
Eeh Mungu nifundishe kunyamazaUlikuwa wapi mwanangu mkwe wangu chai ya rangi hana raha kabisa
Amegusa penyeweLeo bana acha kabisa Mshana Jr
Kajua kuniwakilisha vyema aiseeee