Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,386
- 11,414
KWA WATUMIAJI
Vipi mishangazi inajituma au ni yale yale tu
Vipi mishangazi inajituma au ni yale yale tu
Hapo kwenye ukimwi vp vijana siwataisha🤔Sifa za mshangazi awe na T tatu
1.TAKO
2.TITI
3.TUMBO
Bila kusahau ka ukimwi
Inasemekana mshangazi kuwa mwembamba ni BatiliHivi hakuna mshangazi kimbaombao
UongoooGogo.. Magogo🙌🏿🏃🏿😀
WAkati wewe haupo hivyoUongooo
Thibitisha
Kwani mi mshangazi jamani 😁😁WAkati wewe haupo hivyo
🔥
Kuna kitu una kitafuta mi na ku zoom🤣🤣🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Kuna kitu una kitafuta mi na ku zoom🤣🤣
Umewapa vichwa vijana.... sasa wamepata rejea ya matendo yao....Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee.
Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa kiumri (kawaida miaka 30 hadi 45+), wanaojitegemea kiuchumi, warembo, na wanaojiamini.
🌟 Sababu za Mishangazi Kupendwa na VijanaVijana wengi wa kiume (hasa wa vyuo au wanaochipukia) wamejikuta wakivutiwa zaidi na mishangazi kuliko wasichana wa umri wao kutokana na sababu zifuatazo:
Ukomavu wa Akili:
Hawana drama ndogo ndogo au wivu usio na msingi. Wanajua namna ya kutatua migogoro kwa utulivu
Uwezo wa Kiuchumi:
Tofauti na wasichana wadogo, mshangazi haombi nauli, hela ya kusuka, wala ya vikoba.
Mara nyingi wao ndio hutoa sapoti ya kifedha au mitaji kwa vijana.
Ushauri wa Maisha:
Wana uzoefu mkubwa wa maisha. Wana uwezo wa kumjenga kijana kifikra, kumpa mawazo ya biashara, na kumsaidia "kutoboa"
kimaisha.
Ukomavu wa Kimahusiano: Wanajua namna ya kujali, kuthamini, na kumpa mwanaume amani ya roho bila keleleView attachment 3590157
Daaaah Unazingua mi nimemaliza four toka 2007 mkuuDogo vipi nasikia umemaliza form 4 sasa hivi?!
Waniache kwanza maana sio kwa raha hizi aiseeeeAmegusa penyewe
Wivu tuuPunguza Kasi mkuu, Kila kitu kwa kiasi.
Too much of anything is harmful 😎.
😅😅 hata hivyo hushauriki umeshindikana 🤣Waniache kwanza maana sio kwa raha hizi aiseeee