Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,954
- 25,665
Chukua code hiyo mkuu
Hii nimechukua mkuu.
Chukua code hiyo mkuu
Usiichukue anakupotezaHii nimechukua mkuu.
Una piga mpka ukunga🤣🤣Uwiiii
Onhoo🙆♀️Wana niita the lonely lord, jichanganye niwe deity kabisa 😅
Nataka nikuazime jina langu 😅Onhoo🙆♀️
Waaah 🥲Nataka nikuazime jina langu 😅
Hutaki? au ndio machozi ya furaha😅Waaah 🥲
😀😀machozi tu yanabubujika sijui furaha au huzuni😎😂Hutaki? au ndio machozi ya furaha😅
jishaue tu, akati nataka nizishike rasi kwa mikono 😊😅😀😀machozi tu yanabubujika sijui furaha au huzuni😎😂
😅😅 weee, hebu twende kwenye uzi wetu huku unaharibu sasajishaue tu, akati nataka nizishike rasi kwa mikono 😊😅
Emeji emeji! 😅si mmesema akiwa 30 ni mshanganzi?, basi binti kiziwi ni top class maana ka balance.
Sio kanene, sio kembamba, woii t3 ndio nini?
🤔 Ujue nilikuwa najua hii ID ni mpya! 😅Huyu Dad kwa miaka 30 kuita mshangazi hii ni chai 😁
Hongera kwake binti kiziwi nilimuona selfika ni mrembo na nusu😍
Maana ya T 3
1. Titi/Ziwa /nyonyo liwe limejazia
2. Tumbo liwe kubwaa
3. Tako / kalio /kigoda liwe la haja
Mtoto bum bum, ice cream ya maziwaEmeji emeji! 😅
Mshana, mishangazi yako hua ni real au Ai.Sasa huwa mnafanyaje hadi mfike ikweta? Au mnapapatua!?View attachment 3590167
🤣🤣🤣🤣 Kijana wa Melo bwana!Dah ila mishangazi mingine bhana 😂 n bc tuu ujobless unatusumbua Ila wengine hawafai kuitwa lishangazi labla libondia
Inasikitisha sana mkuu 😂🤣🤣🤣🤣 Kijana wa Melo bwana!
Arsenal bingwa wa eplInasikitisha sana mkuu 😂
Umri sio kigezo cha kupewa Cheo cha Ushangazi.
- Gari (Sio unapanda Daladala)
- Pesa (Mtonyo wa maana)
- Mwili.. (Sio ukienda kupima una kg 50 kama Kuku)
* Nafasi za juu ktk ajira yake (CEO , Director , Manager etc) anatakiw ni mtu wa kufanya maamuzi..
Tuanze na hizo kwanz