Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,944
- 34,989
Kwani ili awe mshangazi inabidi age iwe go au akiwa bonge hata kama hajazeeka total anakukua mshangazi?
Kua makini lakini kuna mwenzio kapost kicwa cha ukuni kuna kipere anaomba msaada yasije ya kakukuta na wewe 🤣🤣Waniache kwanza maana sio kwa raha hizi aiseeee
Staki ushauri wenu au wako mimiHasara zake ni zipi nipate cha kumshauri Poor Brain
Aiseee unajua nini kuna mambo mtu unapewa mpaka unajiuliza hivi hizi raha kwa madogo wa rika yangu tapata kweli😅😅 hata hivyo hushauriki umeshindikana 🤣
Kingine mimi ni group A+ an kupata ugonjwa mpaka mtu aje achome kwa sindan ila other wise hakunaKua makini lakini kuna mwenzio kapost kicwa cha ukuni kuna kipere anaomba msaada yasije ya kakukuta na wewe 🤣🤣
ShenziiiiAiseee unajua nini kuna mambo mtu unapewa mpaka unajiuliza hivi hizi raha kwa madogo wa rika yangu tapata kweli
Jidanganye we hayaKingine mimi ni group A+ an kupata ugonjwa mpaka mtu aje achome kwa sindan ila other wise hakuna
Nakulaga mpaka kuna jirani ananifataga private massage anasema " shem kwan huyo mwenzako unampaga nini maana sio kwa kelele zile"Shenziiii
Haya mwenzako mpaka sasa sijawahi kuchomwa sindano.Jidanganye we haya
Watu wa group A+ kila siku panadol
Mie group O + mala ya mwisho kuumwa nilale kitandani ilikua 5yrs ago
Hongera sana kijanaHaya mwenzako mpaka sasa sijawahi kuchomwa sindano.
sijawahi chomwa sindano nikiwa najitambua an tokea najitambua an najua kuhadithiwa tu kuwa ulichimwa sindano ukiwa na umri flan
Amenhizi sindano za kupimwa maralia sijui damu nimechomwa mara mbili tu. hospital ndo kabisaaaa sipajui nikienda jua naenda kuona mtu au niende tu kwa maswala mengine... namshukuru allah kwa hii hali na naomba kila siku aniepushe na magonjwa
Kavu kavu au siokingine kwenye kula wamama aisee huwa natumia kinga mara moja tu ilaa baada ya hapo ni kavuuuuu an sijari wala nini ila nina mkadilia mtu kwa macho sometimes
Pole sanahuu uzi umeletwa kufanya sisi wengine tuwe na hali mbaya aiseeee
Mimi nilijua mshangazi ni yule age go
Unanichora mdogo etu ahahahahahHongera sana kijana
Amen
Kavu kavu au sio
Aahahhahahah daahPole sana
😅😅😅😅Unanichora mdogo etu ahahahahah
Noma samaAahahhahahah daah