Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,628
- 10,117
😅😅😅😅, onhooo huyo sikuwa mimiHadanganyi babe niliona mwenyewe selfika umevaa ka chen fulani hivi rasi zipo mgongoni Bismillah MashaAllah 😍
Niambie skin keyaa unayotumia nikijipata ninunue
Intelligent businessman una hoja usipuuzwe na huyu binti shikilia hapo hapo
😅😅😅nina skin keyaa basi? Kwani wewe ni black kama mimi? Ashikilie wapi tena 🙆♀️🙌