<br />salamu wakuu baada ya mijadara mingi kwenye mitandao mimi nimeona niweka hapa polltuona kama ni sahihi kwa miss TANZANIA 2011 kupeperusha bendera ya Taifahali kapatikana siku ya msiba?sio hivyo tu shughuli zake kitaifa na kimataifa nini mawazo yako?nimekuja na wazo ili katika misingi ya kujenga taifa lenye uungwana na kujali utupamoja na kukemea yale tunayoweza.Nyingi ya kamapuni ziko chini ya uwezo wetu tunaweza kuzizibiti na kuziweka katika msitarituweke msimamokaribu
shambulia mada sio mimiKwanza useme ww una mamlaka yapi. Pili usitumie hisia katika hili. Ungetumia akili wala usingekuja na mada hii. Tatu wa kupigiwa kura ni viongozi wenu. Nne huu mjadala haufiki popote. Mnapenda tu kubambikiza lawama. Tumeshajadili vya kutosha kuhusu ajali. Mengine ni mbwembwe tu msibani. Waacheni marehem wapumzike kwa amani, wafiwa wafarijiwe, tume ifanye kazi yake, na miss tz asibugudhiwe
good point hakuna haja ya waokuendelea na huu uchafu wameshakasea mchakato na kama wakindeleaApewe tu, as long as atashiriki hayo mashindano..
manake anaenda kuiwakilisha nchi yetu aidha akiwa au asipokuwa na bendera, aibu yake ni aibu yetu sote..
kama kamati ya Miss Tz itaamua kujiengua kwenye mashindano ya mwaka huu kuonesha kujutia kitendo chao itakuwa vyema zaidi..
Au Mamlaka husika ya Serikali itoe tamko la kuiadhibu kamati kwa kuilazimisha kujiengua kwenye mashindano ya mwaka huu..
Au akiwa mashindanoni atumie muda fulani kuomboleza, kuonesha kwamba aliguswa na huu msiba..
Binafsi sioni kama kumnyima Bendera ilhali bado atashiriki kama mwakilishi wa Tanzania itakuwa imekaa vyema..