Tanzania yamirikishwa bendera ya taifa la south afrika au tumemirikiwa na SA?

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
Habari ya jioni wana jamii
leo nikiwa nipo mtandao naendela kupambana na maisha
nimeshitushwa sana na Website kubwa kabisa hapa Africa inayohusiana na mambo ya masoko inayoitwa Africa Business Pages
Hii website kazi yake kubwa ina link masoko ya afrika tenda mbalimbali nk sasa nimeshangazwa nilipokuwa nafungua kuangalia katika Tanzania nikakuta imewekewa bendera ya South Africa kama inavyoonyesha pichani hapa chini mishale miwili imeelekea mahali penye tatizo

Nikajua labda nertwok lakini nimerefresh mara kibao iko vile vile
hii inaweza kuleta madhara namna gani kwa taifa?
Wahusika wa hii website habari ziwafikie mulipo tuna Bendera yeti ina Randi Nne
cvnbcnb.png
 
Yaani ni tatizo watu makini hawapo mambo ni c&p

Huwa nawaheshimu sana wazee wa awamu za akina Nyerere

Vitabu vyao very systematic

Mitihani Yao imetungwa kwa weledi sana

Majengo nk

Siku hizi naona vituko tu, unaweza kukalia kiti ukashuka nacho kwenye sakafu mbele za waheshimiwa.

Hatari sana shekhe in kipozeo's voice
 
Back
Top Bottom