CHUKUA HATUA: Miss Tanzania 2011 na Bendera Ya Taifa

miss tanzania 2011 apewe bendera ya taifa? dondoo kapatikana siku ya msiba wa taifa

  • Total voters
    27
  • Poll closed .

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
salamu wakuu baada ya mijadara mingi kwenye mitandao mimi nimeona niweka hapa polltuona kama ni sahihi kwa miss TANZANIA 2011 kupeperusha bendera ya Taifahali kapatikana siku ya msiba?sio hivyo tu shughuli zake kitaifa na kimataifa nini mawazo yako?nimekuja na wazo ili katika misingi ya kujenga taifa lenye uungwana na kujali utupamoja na kukemea yale tunayoweza.Nyingi ya kamapuni ziko chini ya uwezo wetu tunaweza kuzizibiti na kuziweka katika msitarituweke msimamokaribu
 
<br />
<br />

Poll ndo hua zinakuwa structured hivi? Mbona ushaonesha bias tayari toka mwanzo? Hupaswi kuonesha indication ya matokeo yapi unayoyataka, mbona unakuwa kama redeti na sinoveti bwana?
 
Kwanza useme ww una mamlaka yapi. Pili usitumie hisia katika hili. Ungetumia akili wala usingekuja na mada hii. Tatu wa kupigiwa kura ni viongozi wenu. Nne huu mjadala haufiki popote. Mnapenda tu kubambikiza lawama. Tumeshajadili vya kutosha kuhusu ajali. Mengine ni mbwembwe tu msibani. Waacheni marehem wapumzike kwa amani, wafiwa wafarijiwe, tume ifanye kazi yake, na miss tz asibugudhiwe
 
"Hasipewe"? Zamani nilikuwa nadhani hili ni tatizo katika matamshi tu (kwa baadhi ya makabila) kumbe hata kwenye kuandika pia ni tatizo.
 
Apewe tu, as long as atashiriki hayo mashindano..
manake anaenda kuiwakilisha nchi yetu aidha akiwa au asipokuwa na bendera, aibu yake ni aibu yetu sote..
kama kamati ya Miss Tz itaamua kujiengua kwenye mashindano ya mwaka huu kuonesha kujutia kitendo chao itakuwa vyema zaidi..
Au Mamlaka husika ya Serikali itoe tamko la kuiadhibu kamati kwa kuilazimisha kujiengua kwenye mashindano ya mwaka huu..
Au akiwa mashindanoni atumie muda fulani kuomboleza, kuonesha kwamba aliguswa na huu msiba..

Binafsi sioni kama kumnyima Bendera ilhali bado atashiriki kama mwakilishi wa Tanzania itakuwa imekaa vyema..
 
Kwanza useme ww una mamlaka yapi. Pili usitumie hisia katika hili. Ungetumia akili wala usingekuja na mada hii. Tatu wa kupigiwa kura ni viongozi wenu. Nne huu mjadala haufiki popote. Mnapenda tu kubambikiza lawama. Tumeshajadili vya kutosha kuhusu ajali. Mengine ni mbwembwe tu msibani. Waacheni marehem wapumzike kwa amani, wafiwa wafarijiwe, tume ifanye kazi yake, na miss tz asibugudhiwe
shambulia mada sio mimi
mwisho kama ni viongozi wetu basi wewe sio
MTANZANIA maana tanzania ina serikali na wewe unasema viongozi wenu
kwa mamlaka yepi?
aisee

Apewe tu, as long as atashiriki hayo mashindano..
manake anaenda kuiwakilisha nchi yetu aidha akiwa au asipokuwa na bendera, aibu yake ni aibu yetu sote..
kama kamati ya Miss Tz itaamua kujiengua kwenye mashindano ya mwaka huu kuonesha kujutia kitendo chao itakuwa vyema zaidi..
Au Mamlaka husika ya Serikali itoe tamko la kuiadhibu kamati kwa kuilazimisha kujiengua kwenye mashindano ya mwaka huu..
Au akiwa mashindanoni atumie muda fulani kuomboleza, kuonesha kwamba aliguswa na huu msiba..

Binafsi sioni kama kumnyima Bendera ilhali bado atashiriki kama mwakilishi wa Tanzania itakuwa imekaa vyema..
good point hakuna haja ya waokuendelea na huu uchafu wameshakasea mchakato na kama wakindelea
basi sifa za huyo miss tutaziweka kwenye website ya miss world tuone ni ipi aibu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom