Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
- Thread starter
-
- #161
Kama umefeli usilaumu ikiwa hukuchaguliwa Udsm.Hili nalo neno mkuu mwenyew nipo mkoa, joto ni kubeaawa mno la kuja mjin dat y maomb ya udsm yalikuwa meng kitu kingin ni mentality iliojengeka akilin wma watu kuhus icho chuo, mfan mi nimekosa udsm coz ambayo ilikuwa inahitaj watu 45 tu sasa niach kwingin kisa ud wakat nina Two na kuna walioenda ud wana Two pia ko hao wanainizid vp uwezo? Af pia kuna koz hamna apao ko watu watake hapo tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Haya wengine ngoja tupite tu
Ahsante Mkuu kwa kuelewa mada. Unaakili sanaMatokeo mazuri ufanya mwanafunzi kuchagua anapopataka.
Wapige msuli bata zipo tu
Mkuu nakuomba usilinganishe UDSM na Oxford,Oxford ile ni habari nyingine kile chuo kinashika no.1 duniani katika vyuo best huwezi kulinganisha na UDSM inayoshika nafasi ya 4000 duniani ni sawasawa na wewe kujilinganisha na Manji au BaresaKupata divisheni one sio jambo kubwa Mkuu?
Unaposema Udsm unazungumzia chuo kikuu cha taifa. Kama unavyosema Oxford huko uingereza.
Kama unafikiri vyema unaweza kunielewa
Zipo wapi Mkuu.Zpo bwana acha kudanganya watu
Zipoje mkuu?Kuna watu kibao tumesoma nao huko mashuleni na tokeo zao tunazijua;
Ukisoma fikirisha ubongo mkuu.Mkuu nakuomba usilinganishe UDSM na Oxford,Oxford ile ni habari nyingine kile chuo kinashika no.1 duniani katika vyuo best huwezi kulinganisha na UDSM inayoshika nafasi ya 4000 duniani ni sawasawa na wewe kujilinganisha na Manji au Baresa
Nakuomba usikilinganishe kwa namna yoyote na Oxford wewe kilinganishe vyuo vyetu vya ndani tu kina polytechnic ou mweka na sio kina Oxford mzee,Oxford ni namba zingine zileUkisoma fikirisha ubongo mkuu.
Unafikiri kwa nini nimekilinganisha Udsm na Oxford? Hilo ndilo la kujiuliza
Your condescending and smug attitude exposes the depth of your depravity.Pole sana Mkuu.
hivi kumbe ambaye hajapata div 1 hata kama kapata div 11 au 111 au hata 1V tayari kafeli? kwa hiyo kuitwa kafaulu ni lazima apate div 1 ?Divisheni one zipo lakini ni chache sana.
Mtu aliepata one huchagua vyuo vingine ikiwa Udsm hakuna Kozi anayoitaka kusomea.
Pia bandiko langu limebeba ujumbe wa kuwa kama umefeli usihangaike kulaumu kwa nini hukuchaguliwa Udsm.
Mbona hata Rais wako hilo analijua na kuliheshimu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Au ni wewe hujachaguliwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nakuomba usikilinganishe kwa namna yoyote na Oxford wewe kilinganishe vyuo vyetu vya ndani tu kina polytechnic ou mweka na sio kina Oxford mzee,Oxford ni namba zingine zile
Sielewi lugha uliyoitumia Mkuu. Tafadhali Mkuu tueheshimiane.Your condescending and smug attitude exposes the depth of your depravity.
Pole does not answer the questions posed.
Unaweza ukawa umepata div 1 na bado ukawa umefeli Mkuu.hivi kumbe ambaye hajapata div 1 hata kama kapata div 11 au 111 au hata 1V tayari kafeli? kwa hiyo kuitwa kafaulu ni lazima apate div 1 ? ama kweli uDsm the home of Vilaza.