Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
- Thread starter
-
- #81
Mtu anasoma Engineering unataka aandike Insha kama Mwandishi wa habari.UDSM chenyewe wanafunzi wanasoma wanahitimu hata kuandika insha hawajui.
Hicho ndicho chuo kinagombaniwa.
Kweli ukiwa jangwani hata matope utaita maji safi.
Nilivyokuwa nasoma A Levels enzi zangu, nilikuwa napenda sana Particle/ theoretical Physics.
Nikawa naenda UDSM kuangalia library yao, imechooka, vitabu vya tangu ukoloni.
Nikaenda American Library Peugeot House nikakuta vitabu vya mwaka mmoja uliopita vyenye latest updates vipo.
Nikaona tunacheza.
Mnajifariji sana.Ehheheh yaan wanavyojisifu sasa duu,,ni kupoteza tu pesa
We Kikwete na JPM unawachukuliaje?UDSM kutupatia Kikwete na Magufuli tu tayari ni doa la kufanya mtu asitake kusoma hapo.
Kuna siku nilikuwa naangalia website yao,nilishindwa kuamua nilie au nicheke.
Upo sahihi Mkuumleta mada unaonekana ulisoma COSS au CoHU
correct me if am wrong
Ulichukua kozi gani? Na ilikuwa 2 ya ngapi?Mbona mwaka 2011 Nilikua na 2 na nikapata Udsm????
Kwa wajukuu zako.ujumbe kwa nani sasa?
Si mchezo hicho chuo. Hiyo ni kama njia ya peponi.Udsm inapendwa.Wameomba 40,000 nafasi zipo 10,000
Mtu yeyote aliyehitimu Shule ya Sekondari tu, aliyesoma mchepuko wowote, inabidi ajue kuandika insha.Mtu anasoma Engineering unataka aandike Insha kama Mwandishi wa habari.
umeongea uongo mkubwa sana. Udsm mtu asijue kuandika insha. Looh!
Unachanganya Vyuo mkuu
Ahsante sana Mkuu Malcom Lumumba. Kwanza nipende kukupongeza kwa kuona Uzi wangu. Ni jambo la Sifa Uzi Wangu kupitiwa na mtu kama wewe.Kitu cha kujifunza ndugu yangu:
Elimu na Akili siyo kusoma Chuo kama UDSM au MZUMBE..Unaweza kusoma hapo na kupata PhD lakini kwenye soko la kimataifa hata usionekane na wala usichangie lolote kwenye ulimwengu wa taaluma au kwenye jamii. Au hata kusoma Ulaya au Marekani lakini bado ukaishia kuwa zwazwa tu.
Leo hii hao wasomi unaotaka kuwasifia wameshindwa kabisa kutatua matatizo ya nchi hii na wengine hata kujikwamua kimaisha wameshindwa, lakini unakuta mfanyabishara wa kikinga pale Kariakoo aliyeishia form four au darasa la saba anasaidia jamii kwenye kodi na kutoa ajira.
Vyeti vinakudanganya sana wewe.
Badilika, UDSM ni chuo cha kawaida sana kwa sasa.
Kikwete kasoma Uchumi kahitimu UDSM, akulizwa na Bob Gledof, kwa nini nchi yako ni masikini?We Kikwete na JPM unawachukuliaje?
Mada inasemaje Mkuu?Uwikariri mpendwa, ukitaka kilimo huwezi kusoma udsm z
Accounts huwezi kusoma udsm sasa chuo gani kinatoa course nyingi kinaacha kozi muhimu ya fedha. Siku hizi Nasikia B.com wameboresha walau unaweza kukuta course inayofanana na uhasibu.
Kuna kitu hukijui ndio maana unaongea kama asiyejualabda inapendwa kwa sababu chuo kipo mjini na ukongwe wake otherwise wanafunzi ni wakaiwaida sana
Karibubaki hvo hvo na ubishi wako...nmekushindwa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Acheni kukikweza, UDSM si chuo cha kujisifia kiiovo ni sawa tu sawa na vyengine, tena hizi sifa zake Hazina tofauti na chama tawala ni mjina mkubwa tu hakunaga chochote zaidi ya kukopiana tuu
Insha zinatofautiana sana Mkuu.Mtu yeyote aliyehitimu Shule ya Sekondari tu, aliyesoma mchepuko wowote, inabidi ajue kuandika insha.
Hizi habari za kwamba umesoma Engineering eti ndiyo hutakiwi kujua kuandika insha ndiyo ujinga ninaousema mnahitimu lakini hamjamaliza ujinga wa msingi kabisa.
Ushamba tu hakuna lolote wengi wa mikoani wanataman kuja kuosha macho dar watu wana div 1 pt 3 wamesoma vyuo vingine na wapo vzr tuDivisheni one zipo lakini ni chache sana.
Mtu aliepata one huchagua vyuo vingine ikiwa Udsm hakuna Kozi anayoitaka kusomea.
Pia bandiko langu limebeba ujumbe wa kuwa kama umefeli usihangaike kulaumu kwa nini hukuchaguliwa Udsm.
Mbona hata Rais wako hilo analijua na kuliheshimu
Kwani wapi nimesema hawawezi kuandika insha ya muandishi wa habari?Insha zinatofautiana sana Mkuu.
Kidato cha pili kama sikosei kuna Insha za Wasifu na zile za hoja.
Uandishi wa Insha unategemea mambo mengi. Moja wapo ni Ujuzi na uelewa na mwandishi. Mtu aliyesomea Uhandisi atakuwa na ujuzi wa kawaida wa kuandika insha tofauti na mtu wa fasihi na mwandishi wa habari.
Wewe mwenyewe unaweza jiona unajua kuandika insha lakini ukawa hujui
Unajua nini maana ya Siasa Mkuu?Kikwete ni mtu bogus kabisa, kasoma Uchumi kahitimu UDSM, akulizwa na Bob Gledof, kwa nini nchi yako ni masikini?
Huyu rais, ana state organs zote za kumpa blue books zote.
Kajibu hajui kwa nini nchi yake masikini.
Magufuli ndiyo kabisaaa.
Mtu kateua mawaziri, kawapa kazi nyeti, halafu anatuambia mawaziri wake wapumbavu.
Maana yake yeye aliyewateua na kuwapa kazi nyeti za uwaziri ni mpumbavu zaidi yao.
Hao ni kati ya wahitimu wanaoheshimika kabisa wa UDSM.
Kuosha macho ni sehemu ya kuongeza maarifa. Kitu kama ni kizuri hufuatwa hata kama kipo kuzimu Mkuu.Ushamba tu hakuna lolote wengi wa mikoani wanataman kuja kuosha macho dar watu wana div 1 pt 3 wamesoma vyuo vingine na wapo vzr tu