Chuki na husda dhidi ya wanaDiaspora

Chuki na husda dhidi ya wanaDiaspora

Hapo ndio pagumu... lakini sio pagumu sana. Mkuu naamini wewe unaweza kuanzisha umoja huo...

Mi siwez na sina vigezo na masharti! Ila nawasws watu wanaeza chomekea u-Cdm na u-Ccm

Sent from Mchina
 
Mi siwez na sina vigezo na masharti! Ila nawasws watu wanaeza chomekea u-Cdm na u-Ccm

Sent from Mchina

Watu wanaweka U-CCM na U-CDM kwa sababu wanapenda mteremko. Hawataki kufanya juhudi ili kujenga harakati binafsi, wanadandia harakati za vyama vya siasa...
 
Diaspora wa Tanzania ni mzigo kwa Taifa, wapo wengine wanaishi mtoni lakini wanatumiwa hela kutoka bongo na wazazi wao. Wengine hata kurudi kusalimia ndugu zao, au kuja kula Bata holiday hakuna. Wengine wakirudi likizo wanakaa majumbani kwa wazazi wao kula kulala hawatoi hata senti ya matumizi. Wengine hawataki kwenda mkoa kwa mabasi wanalazimisha kuazima magari ya ndugu zao na wese tuwajazie, ukiwanyima wanasambaza lawama ukoo nzima. Diaspora wa Tanzania mchango wao ni JF MMU pekee, kwenye uchumi na ujasiriamali hutowaona kamwe. Sana Sana wakichoka kuosha vyombo huko utawaona Chit Chat. Usitegemee remittance kutoka kwa mijitu ya aina hii...
 
Yanga kama CDM hakuna haki lazima kuandamana kushinikiza kupata haki. Haki ni pamoja na kupewa ridhaa au kukataliwa
 
Suala la uraia pacha lina manufaa mengi sana kwa nchi yetu tatizo kubwa nililoliona ni kuwa watu waliolibebea bango hii issue wengi wao ni ma-opportunists wenye uchu wa kutaka kwenda tanzania kugombea nafasi za kisiasa na then wakishindwa warudi huku ughaibuni...kuna mtu mmoja kaongea kuna shida gani kama umeamua hilo ukaamua tu ukaukana uraia wa UK au US ukajirudia zako kupambana kisiasa???
Mbona wengine tumeweza kwenda bongo na kufanya mambo yote kwa miezi sita na kurudi??? haya matawi ya mavyama ya siasa ndo yanachochea yote haya...watu wameacha kazi zao na kujihusisha na CCM or CDM kila kiongozi akija ni mapicha na kurushwa huko kwa michuzi basi ile popularity ya mtu kujiona kwenye vi blog uchwara hivyo inampa kichwa atake kwenda kugombea nafasi za kisiasa na hili ndilo limeleta hii hoja ya uraia pacha...ni opportunisms za watu wachache...wengi wanaoishi ughaibuni huo uraia pacha hata hatuutaki wa nini kwanza????nyumba ninazo bongo,pesa natuma na holidays nakuja kama kawa na bila usumbufu wowote na familia yangu...sasa huo uraia pacha wa nini??? Watanzania wazalendo ukataeni huo uraia pacha kwa nguvu zote hauna faida yoyote kwa nchi kwa wakati huu watu wanajadili katiba na mambo muhimu ya taifa la TZ.
 
Diaspora wa Tanzania ni mzigo kwa Taifa, wapo wengine wanaishi mtoni lakini wanatumiwa hela kutoka bongo na wazazi wao. Wengine hata kurudi kusalimia ndugu zao, au kuja kula Bata holiday hakuna. Wengine wakirudi likizo wanakaa majumbani kwa wazazi wao kula kulala hawatoi hata senti ya matumizi. Wengine hawataki kwenda mkoa kwa mabasi wanalazimisha kuazima magari ya ndugu zao na wese tuwajazie, ukiwanyima wanasambaza lawama ukoo nzima. Diaspora wa Tanzania mchango wao ni JF MMU pekee, kwenye uchumi na ujasiriamali hutowaona kamwe. Sana Sana wakichoka kuosha vyombo huko utawaona Chit Chat. Usitegemee remittance kutoka kwa mijitu ya aina hii...

you win the prize for ''most childish comment".

kitchen gossip and pub hearsay is the foundation of public policy? you should open a thinktank.

do you have any hard science to back up your argument sir (data, statistics.)
 
_42481604_africa_migration416x363.gif

Hivi chuki dhuidi ya wana diaspora na hasa toka kwa wanasiasa na watu wenye hali nzuri za kimaisha hapa nyumbani inatokana na nini?

Cha ajabu ni kuwa mawaziri na viongozi kadhaa wa serikali ya nchi hii watoto wao wana uraia wa nchi mbili mbili japo sheria hiyo haipo. Mfano Waziri wa mambo ya nchi za nje ambaye diaspora iko chini yake, Bw Bernard Membe, watoto wake ni raia wa Canada, Sisemi kuwa kuwa na uraia wa nje ni dhambi lakini ungetegemea kuwa alikuwa na uwezo wa kuwaandikisha wanae kuwa ni raia wa Tanzania lakini alikubali waandikishwe kuwa ni raiua wa Canada. Cha ajabu ni kuwa Mheshimiwa Membe amekjuwa kimya sana huku watanzania ambao wako Diaspora wakiendelea kusulubiwa na wanasiasa na vyombo vya habari hii inanipelekea kulizia kuwa hivi chuki na husda dhidi ya wana Disapora (ambao wengi wao ni watoto wa maskini) inatokana na nini hasa?

Hivi vyama vya siasa vina maoni gani kuhusu hili suala?

- Mkuu hakuna anayewachukia ila if anything mnajichukia wenyewe na kama kuna anayewachukia basi haelewi kabisa maisha ya huko yalivyo, Waziri Membe peke yake hawezi kuwapa Dual Citizenship wenye uamuzi ni Wabunge ambao nyie kwa ujumla wenu na mapesa yenu yote mmeshindwa kuwafikia na kuwaelimisha nini maana na faida ya kuwa na Dual Citizenship, na vilio vyenu huku JF kama hivi haviwezi kuwasaidia kabisa,

- Naona umem-target Waziri Membe binafsi kwa sababu ambazo wala hazina msingi kabisa kwa sababu kumbuka kwamba hata Rais wa sasa alipokuwa Waziri wa nje kwa miaka 10 hakuweza kulitatua hilo tatizo na hana mtoto mwenye uraia wa nchi mbili, ni maandiko yenu kama haya ndio huwa yanawatia nyongo sana waamuzi wa ishu yenu inaendelea kukwama, poleni sana!!

Le Mutuz
 
you win the prize for ''most childish comment".

kitchen gossip and pub hearsay is the foundation of public policy? you should open a thinktank.

do you have any hard science to back up your argument sir (data, statistics.)

Sina hakika unataka data/ Statistics gani wakati hapo juu kuna kitu cha World Bank 2005 kikionyesha kuwa hamchangii chochote kwenye uchumi wa Tanzania. Pia tembelea jukwaa la Uchimi na biashara au Ujasiriamali uone kama Diaspora mnachangia hata mawazo kwenye uchumi wa nchi. Mwisho wa siku mnatudanganya kuwa hamji kujengo bongo mna apartments Manhattan kwenye value kubwa. Hata Mo Dewji ameeleza hii alipata kazi kubwa huko lakini kila mwezi Baba yake alikuwa anamtumia mkwanja...
 
- Mkuu hakuna anayewachukia ila if anything mnajichukia wenyewe na kama kuna anayewachukia basi haelewi kabisa maisha ya huko yalivyo, Waziri Membe peke yake hawezi kuwapa Dual Citizenship wenye uamuzi ni Wabunge ambao nyie kwa ujumla wenu na mapesa yenu yote mmeshindwa kuwafikia na kuwaelimisha nini maana na faida ya kuwa na Dual Citizenship, na vilio vyenu huku JF kama hivi haviwezi kuwasaidia kabisa,

- Naona umem-target Waziri Membe binafsi kwa sababu ambazo wala hazina msingi kabisa kwa sababu kumbuka kwamba hata Rais wa sasa alipokuwa Waziri wa nje kwa miaka 10 hakuweza kulitatua hilo tatizo na hana mtoto mwenye uraia wa nchi mbili, ni maandiko yenu kama haya ndio huwa yanawatia nyongo sana waamuzi wa ishu yenu inaendelea kukwama, poleni sana!!

Le Mutuz

Greetings Mutuz. Respect to you sir . Lakini why is it an issue of US vs THEM.

If someon moves from kigoma, or morogoro or arusha to dar does it become the same issue between himself and his home village?

The IOM, the World Bank , the IMF have all published documents extolling the benefits of greater engagement of countries with their respective diaspora.

I will provide you with all the relevant documentation.
 
Sina hakika unataka data/ Statistics gani wakati hapo juu kuna kitu cha World Bank 2005 kikionyesha kuwa hamchangii chochote kwenye uchumi wa Tanzania. Pia tembelea jukwaa la Uchimi na biashara au Ujasiriamali uone kama Diaspora mnachangia hata mawazo kwenye uchumi wa nchi. Mwisho wa siku mnatudanganya kuwa hamji kujengo bongo mna apartments Manhattan kwenye value kubwa. Hata Mo Dewji ameeleza hii alipata kazi kubwa huko lakini kila mwezi Baba yake alikuwa anamtumia mkwanja...

[h=2]Tanzania: Remittance inflows $10m last year, says Unctad report[/h]

Dar es Salaam: Remittances from Tanzanians in the diaspora amounted to Sh16 billion ($10.2 million) last year, a report has indicated. Released by the United Nations Conference on Trade and Development (Unctad) yesterday, the‘Least Developed Countries report' noted that $4.5 million of the remittances came from the UK, $3.2 million from Canada and $2.5 million from Kenya.
Last year the Bank of Tanzania reported that Tanzanians in the diaspora remitted Sh534 billion ($356 million) between July 2005 and September 2007.
According to Unctad, remittances to Least Developed Countries (LDCs) in 2011 were almost twice foreign direct investment (FDI) inflows ($15 billion) to such countries.
Remittances are much more important for LDCs than for other country groups. In LDCs, remittances account for 4.4 per cent of the gross domestic product and 15 per cent of exports. "These shares are three times higher than in other developing countries [non-LDCs]," says the Unctad.
Among the East African countries whose remittances exceeded receipts of FDI in 2008–2010 were Burundi and Uganda. The report estimates that about 2 million university-educated persons from LDCs live and work abroad. In developed countries, 35 per cent of immigrants have university education while in LDCs, just 4 per cent of immigrants have the same level of education
"One third of LDC university-educated emigrants live in just one country: the United States," says the report.
A World Bank brief says remittances to the developing world are expected to exceed earlier estimates to $406 billion this year, an increase of 6.5 per cent over the previous year. Remittances to developing countries are projected to grow by 7.9 per cent in 2013, 10.1 per cent in 2014 and 10.7 per cent in 2015 to reach $534 billion in 2015.

Greetings Mutuz. Respect to you sir . Lakini why is it an issue of US vs THEM.

If someon moves from kigoma, or morogoro or arusha to dar does it become the same issue between himself and his home village?

The IOM, the World Bank , the IMF have all published documents extolling the benefits of greater engagement of countries with their respective diaspora.

I will provide you with all the relevant documentation.

- Mkuu sana haya ni mawazo yako sio yangu I have nothing to do na this whole mess, however I work with Wabunge all the times hata jana nilikuwa bungeni to work with them they do not work like wabunge wa huko kwenu majuu wenye staff kama 20, huku they work very differently samahani sana kama nimekukwaza ma mawazo yangu, lakini ndio demokrasia kila mmoja wetu ana haki ya kusema yake,

Le Mutuz
 
Membe kumbe watoto wake sio Raia wa Tanzania????lete ushahidi kabisa
 
Hao wanaojiita ma-diaspora hawana mchango wowote si tu kwa nchi hata kwenye familia zao,mimi nina ndugu wa damu kama watatu ni madiaspora,sijaona mchango wowote wanaoufanya au chochote cha maendeleo,ukimwambia nunua kiwanja ujenge anakwambia nina nyumba nimenunua London ya gorofa moja etc zaidi wakirudi wanakuta sis tunasonga mbele na maisha na uwa nawauliza hivi nyinyi na kukaa kwenu kote huko mbona hamna tofauti na mimi niliye bongo,na sana sana niko mbele zaidi yenu.Kingine wakikaa huko wanadhani huku tuko backward sana lakini wakifika wwanashnagaa kukuta wengine tuna miliki Hadi Hammer
 
But why this remittences doesn't reflect on this map?

View attachment 144694

Look at the years in that text... those remittances reported by BOT relate to the years 2005 up to 2007. This is equivalent to around 100m per year (according to BOT)... if this figure is correct, still we cannot be among the top ten countries in Africa, look at the figures of other countries in that map! We also know that we, Tanzanians are not very aggressive in finding greener pastures, the question to ask ourselves is 'will dual citizenship help increase the number of Tanzanians in the diaspora?'. Kenyan budget depends on among other sources, remittances from diaspora!!!
 
Hao wanaojiita ma-diaspora hawana mchango wowote si tu kwa nchi hata kwenye familia zao,mimi nina ndugu wa damu kama watatu ni madiaspora,sijaona mchango wowote wanaoufanya au chochote cha maendeleo,ukimwambia nunua kiwanja ujenge anakwambia nina nyumba nimenunua London ya gorofa moja etc zaidi wakirudi wanakuta sis tunasonga mbele na maisha na uwa nawauliza hivi nyinyi na kukaa kwenu kote huko mbona hamna tofauti na mimi niliye bongo,na sana sana niko mbele zaidi yenu.Kingine wakikaa huko wanadhani huku tuko backward sana lakini wakifika wwanashnagaa kukuta wengine tuna miliki Hadi Hammer

Kwenye kutafuta maisha kuna kufanikiwa na kushindwa. Wangapi wanatoka vijijini na kuja dar lakini hawafanikiwi. Nakama hawafanikiwi basi wacha wapate uraia pacha labda itawapa moyo wa kurudi TZ unapoona ndio watuwanafanikiwa kwa maisha. Kwanini umuazibu mtu alie-lost. Na kwakutumia logic yako angalia usije ukaacha kuwapeleka watoto wako shule kwasababu wanufunzi walifeli miaka miwili iliyopita.
 
Wanasiasa wenyewe ndio watoto wao wapo nje halafu wao wenyewe wachukie dual citizenship kwakweli haina logic kabisa.

Wa Diaspora mjipange upya
 
Diaspora wa Tanzania ni mzigo kwa Taifa, Diaspora wa Tanzania mchango wao ni JF MMU pekee, . Sana Sana wakichoka kuosha vyombo huko utawaona Chit Chat. Usitegemee remittance kutoka kwa mijitu ya aina hii...

LOL...

:biggrin1:

Mzee unatafuta ugomvi
 
Hebu niulize swali la msingi hapa juu ya hicho kiwango kinachotoka Diaspora,Hivi kwa mfano Chenge akienda ku-withdraw kwenye ile akaunti yake ya New Jersey hiyo nayo inahesabika kama ni hela kutoka Diaspora?Kama ni hivyo kuna kosa kubwa sana la reasoning tunalifanya hapa.
 
Hii vita ni ngumu ila nina uhakika wanadiaspora Mungu yu pamoja nasi tutashinda aijalishi familia tunazotoka kila kitu kinajulikana kwamba our mother country is Tz and we are in Abroad because of differents reasons such as educational matters, employment and so on, when it comes a question of money transfer you cant compared our country with other nations such as Kenya,Ethiopia etc this is because those countries adopted dual citizenship many years ago also Tanzanians who are in diaspora are few in number compared to other mentioned African countries.

When it comes in Membe's matters, its not a time to laments wether the secretary of Tz have children in Canada or not, several times Membe is open on this issue of Dual Citizenship and he tried harder and harder and I wish It will be adopted for the benefits of our poor country Tz.
 
Mkuu ukiangalia asilimia kubwa ni wale wanaoogopa kupoteza nafasi zao kisiasa iwapo walio nje wataruhusiwa.

Solution kwa mtu anaetaka kuwa mwanasiasa TZ ni kuukana uraia alionao sasa na kurudi nyumbani kugombea

Mimi ni mhehe wa Kalenga, baba katokea Kalenga na mama Katokea Tosa maganga, wanangu pia ni full wahehe, sasa kesho nirudi nyumbani nione kenge yeyote ananisumbua, kwanza wengine ni wanyarwanda na warundi tu..

Ukirudisha rambi rambi tutakusamehe ila vinginevyo lazima tukusumbue sana tu
 
Back
Top Bottom