Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Ok hebu fikiria mtu akujibu hivi bila kujali undugu; dunia ya sasa ni utandawazi na utandawazi ni faida kwanza mengine baadaye,nyie mnataka uraia sawa sisi tunaendesha mambo yetu bila uwepo wenu na yanaenda sasa nyie mnaotaka kuja kwetu mtafaidisha nini katika sekta za uchumi,elimu,siasa,afya na miundombinu????!!!
Kama ni hivyo basi watakuwa wamekosea sana kwa sababu uraia pacha utakuja kuwasaidia sana Wazanzibari huko mbeleni (baada ya uzinduzi wa Tanganyika) hasa hasa katika suala la umiliki wa ardhi.lakini Wahafidhina CCM wa Zanzibar ndio waliyoiwekea mguu kwa hofu eti Wa Zanzibari (Diaspora ya Arabuni) watarudi na mahela yao watakuja kumiliki kila kitu na kuchukua nchi na hili ni nyinyi hapo wa Tanganyika ndio munawaachia sasa ni kikulacho ki nguoni mwako. ]
Msimsulubu Membe wasulubuni wahafidhina wa CCM na wenzenu wa Chadema (Islamophobics) wanaosaidia kujenga chuki Zanzibar kwani Membe amelipigia debe sana hili suala na alifika pahali bado implimentation tu lakini Wahafidhina CCM wa Zanzibar ndio waliyoiwekea mguu kwa hofu eti Wa Zanzibari (Diaspora ya Arabuni) watarudi na mahela yao watakuja kumiliki kila kitu na kuchukua nchi na hili ni nyinyi hapo wa Tanganyika ndio munawaachia sasa ni kikulacho ki nguoni mwako. Mchunga kupigwa na ngombe wake. Kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.
Poleni sana.
gombesugu, kahtaan, wabara, THE BIG SHOW, Gavana, Boko haram, mipangomiji, mfumo
"wana-diaspora tunaonewa wivu kwa uwezo wetu wa kuandika na kujieleza kwa lugha za kizungu".haya si maneno yangu,ni ya mwana-diaspora mmoja niliyekutana naye siku chache zilizopita alipo rejea toka ng'ambo.
"wana-diaspora tunaonewa wivu kwa uwezo wetu wa kuandika na kujieleza kwa lugha za kizungu".haya si maneno yangu,ni ya mwana-diaspora mmoja niliyekutana naye siku chache zilizopita alipo rejea toka ng'ambo.
Ndugu yangu malcolmX
Unapaswa kutambua kilicho nyuma ya vikwazo vya suala hili si chuki na husda kama unavyodhani...
Tena umesema wanasiasa na matajiri ndio wenye chuki na husda dhidi ya diasporas je chuki na husda yao nini dhidi ya diasporas?
Kuanzisha mada kwa mrengo huo sidhani kama utapata uchangiaji mzuri toka kwa wadau..
jaribuni kujenga hoja zenye mashiko ambazo zitawashawishi ndugu zenu kulikubali hili suala..
Nimefuatilia mijadala mingi juu ya suala hili hapa jf na nje ya jf lakini sijawahi ona diaspora yoyote akitoa hoja ya mashiko ktk uchangizi wake zaidi ya kusema tunaonewa wivu...chuki..husda n.k n.k
mbaya zaidi hamuelezi hizo chuki..wivu..husda zinaletwa na nini hasa maana hao wanasiasa mnaowashutumu wengi wana ndugu na watoto nje ya nchi....
Kwanini msibadili aina hii ya mawazo na mje na hoja mujarabu?
Membe amepigania sana hii issue kwenye katiba mpya alikwama kwanini?
Kwenda kwa maneno mepesi namna hii katika issue nzito kama hii inayowaumiza itawagharimu wenyewe...
Jaribuni kubadilika maana mi sioni chuki..husda..wivu dhidi yenu unatoka wapi na kwanini ikiwa kwenda nje kila mtu akitaka anaweza kwenda kama wafanyavyo wengine sasa hapo sijui unaweza semaje..
Binafsi issue hii inanigusa pia kwakuwa nina ndugu na jamaa Nje ila tatizo kubwa lililopo kwetu ni uelewa juu ya jambo hili kwa wadau...
Kila la kheri..
Majoka ya mdimu nyinyi, "tunaemdesha mambo yetu" gani hayo zaidi ya ufisadi na wizi wa mali za ummah.
Ndugu yangu usikae kutetea ccm tu daily think beyond kaka....kwa nini sasa dual citizenship iinawekewa vikwazo? sababu za msingi za kupinga uraia wa nchi 2 ni zipi? angalia hiyo chati hapo juu vizuri...mnapinga uraia wa nchi mbili halafu mnawaruhusu watoto wenu wenye uraia wa ughaibuni kuja kugombea ubunge kwa sababu tu ni watoto wa vigogo wa ccm...
Not sure, lakini these figures are fro 2005.
Kimsingi hii mada in kaujinga kidogo.
Utakuwa na chuki na kitu ambacho wala hukijui.
Kumtaka Membe akutetee wakati unaweza kujieleza wewe mwenyewe ni infiority complex of thi highest order.
Mjipange kuweka mambo yenu sawa, sijasikia mhindi aliyejilipua akitaka udiaora wake.
Ukijilipua umejilipua , kaa huko and enjoy it.
Kama wataka kurudi huo ni uamuzi wako, kutaka utetewe ili uenjoy both worlds ni ujanja wako wa kuishi duniani.
Embu shirikisha ubongo kidogo. Unazania waindi wanajali bongo. Bongo ni pakujichumia na waindi wengi wakizipata hela wanakimbilia canada au kurudi kwao. Watu wanaotaka uraia pacha ni watanzania masikini walioenda nje kutafuta maisha ila wanaona bongo ni kwao na wanataka hela zao wazitumie kuendeleza kwao bongo.
Mkuu,
The data shown is for the top 10 countries where TZ is not in the list.
Why not,if one may ask!!!!?????
Watanzania ni porojo sana popote pale walipo, hawaishi kutafuta visingizio. Watu wenye nia ya kuwekeza nchini kwao hawaitaji uraia pacha kufanya hivyo. Tumewaona wapopo (wanaijeria) walioko kwenye nchi zinazokataa uraia pacha kama Norway, lakini wanaukana uraia wao na bado wanawekeza nyumbani. Acheni porojo, mjitume...ongezeni ujuzi mpate kazi za maana au muanzishe miradi yenu huko ughaibuni na mnaweza kuja huku nyumbani hata kama foreign investors (tena wengi hamjui tu, Tanzania inawajali foreign investors kuliko wazawa). Tatizo lenu wengi mmejikita kwenye "unskilled jobs" (kama vile kupiga "dish" subway, carpet cleaning, hotel room makers etc) halafu mnategemea uraia pacha utawaletea mabadiliko......no way, kama vipi mrudi tu nyumbani bado kuna ardhi kubwa tu yenye rutuba.