Utazuia vipi? maana kinachotakiwa ni kuukana tu uraia wa nje, jambo ambalo mgeni anaweza kufanya lakini siku akirudi kwao anaomba tu passport.Mimi nawatetea walo nje japo sina tatizo hilo. Wabongo tulio nyumbani hatuna sababu ya kuzuia uraia pacha kwa walio nje zaidi ya wivu tu. swala ni haki ya kuendelea kuwa watanzania baada ya kuchukua uraia wa nje. Uraia pacha utawa-protect kisheria kama wana kijisha au kibanda chake wasije wakatapeliwa na mnao jifanya mnatengeneza pesa ndefu kumbe mnafanya ufisadi. Watu bongo malizao wakati ni raia halali . Je itakuwaje kama mafisadi wakijua wewe sio rai kisheria. Watu wameondoka bongo kwenda kutafua elimu nje baada ya kukosa nafasi bongo mnataka wapoteze haki ya kuwa rai wa bongo. Wakati kilasiku munawauzia passport waindi, wakenya na wanaigeria. Pumba** zenu
Kumbuka wakati wa Nyerere wahindi walokimbilia UK na Canada walikuwa na uraia pacha na wakafanyiwa mipango ya usafiri na tukalaaniwa sisi, japo hao hao waliukana wa nje walipopata uraia wa Tanzania. wao watatushinda tu kwa kila hila, hizi chuki ni kwa wazawa tu hazitazami nje ya sanduku.
Hivyo hivyo leo Mkenya akija kwetu anaweza kuukana Uraia wa Kenya, mkampa passport kesho akapanda ndege kurudi kenya na kuchukua tena ganda la Kenya. Huyu mtu utamzuia vipi wakati passport yake inaonysha wiki moja tu kapata uraia wa Tanzania! na utajuaje?