TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,814
- 3,155
Umesahau mafumbo yake kwenye twitter na insta ya kumfumba Mh Rais Magufuli kipindi katumbuliwa akakanywa mpaka akaenda kufuta post huo ni utovu wa nidhamu kwa kiongozi mkubwa wa nchi hatujasahauIle voice note inabeba kila kitu.
Lakini haya machache;
1. Huwa anajiona yupo smart kichwani kuliko mtu mwingine wakati hamna kitu..kwenye ofisi yake huwa anabadili sana makatibu.
2. Kwa mara ya kwanza aliingia bungeni kwa rushwa millioni 300 huku baba yake akiwa katibu mkuu na akafumbia macho.
3. 2015 Kikwete alilalamika kuwa pamoja na January kuwa msaidizi wake lakini alienda kuchukua fomu ya urais bila hata kumuambia.
4. Ni mtu anayependa dili sana..kuna ushahidi wa wazi kika alipokuwa akienda kwenye mradi wa bwawa la nyerere kuna zile kampuni zinamletea bahasha ili ziendelee kuoewa tenda kwenye bwawa la nyerere..kiufupi anatoka hapo nishati akiwa bilionea wa kutisha.
Samahani,Ile voice note inabeba kila kitu.

Tena sanaBaba yake Nape mzee Moses alikuwa Rafiki wa karibu wa Nyerere.
Tupe ubuyu tupe ubuyu... Kumbe chombo ya Mzee baba, maana mimi niliomba namba ikaninyimaHayo mengine sijui ninachojua position alipo ni ya kuchota mahela,
Kazaa na Barbara former CEO wa Simba kamnunulia GXR 2023.
View attachment 2734259
He is irrelevant and useless to Tanzanian citizens and their sovereignty resources therefore immaterial for whatever roles to trusted.January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Therefore hachukiwi, ila watu wanatoa hisia zao kuhusu kupendelewaCan you conclude, please?
Lakini mada haihusiani na JPMHaijalishi kuwa wewe ni Dogo, Braza au Dingi, au Kikongwe.... Cha msingi jua kuwa Mzee wa Chato alikuwa Rais bora, imagine miaka 5 tu, Bongo ilianza kutoka kwenye ubongonyoso, tukaanza kuingia kwenye ubongoraha... Tukaanza kuwa Recognized, Watalii wakaanza kutua, Miradi ikaanza kutembea, Serikali ikaamia Dodoma, Treni ya SGR na Bwawa la umeme likaanza kujengwa, Daraja refu Afrika mashariki pale mwanza, Meli kubwa ziwa Victoria, MV hapa kazi tu... Rushwa ilianza kupotea maana, mchizi wangu mmoja naye alikamatwa kwa rushwa, ata mwananchi wa kawaida akaanza kuheshimika... Yule mwamba apumzike tu... Ukipinga huu ukweli, wewe unatakiwa ukapimwe akili uenda akili zako ni moja kasoro robo
Mkuu na pale wami daraja jipya likajengwa chaap na roho za umauti zikakoma kuwaandama madereva wa malori na mabasi na abiria wao.Haijalishi kuwa wewe ni Dogo, Braza au Dingi, au Kikongwe.... Cha msingi jua kuwa Mzee wa Chato alikuwa Rais bora, imagine miaka 5 tu, Bongo ilianza kutoka kwenye ubongonyoso, tukaanza kuingia kwenye ubongoraha... Tukaanza kuwa Recognized, Watalii wakaanza kutua, Miradi ikaanza kutembea, Serikali ikaamia Dodoma, Treni ya SGR na Bwawa la umeme likaanza kujengwa, Daraja refu Afrika mashariki pale mwanza, Meli kubwa ziwa Victoria, MV hapa kazi tu... Rushwa ilianza kupotea maana, mchizi wangu mmoja naye alikamatwa kwa rushwa, ata mwananchi wa kawaida akaanza kuheshimika... Yule mwamba apumzike tu... Ukipinga huu ukweli, wewe unatakiwa ukapimwe akili uenda akili zako ni moja kasoro robo
huyu bwana wengi wanamchukia na hawana ushahidi wowoteJanuary Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Kuna wale tunaoamini kuwa January ndye Kigogo 14 aliyekuwa anajitahidi kuonesha Jiwe Mwamba Magufuli alikuwa ni Kiongozi mbaya nchini kwa kutoa Siri na taarifa mbalimbali mbaya dhidi yake. Sasa hivi mambo yamemgeukia kama vile Waingereza wasemavyo, What goes around, comes around!January Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Unataka ushaidi kwani hapa ni mahakamaniJanuary Makamba, mtoto wa Katibu Mkuu mstaafu wa CCM amekuwa akiandamwa katika mitandao mingi ya kijamii na kujaribu kuaminisha umma ya kuwa ni mtu hafai katika uongozi.
Binafsi Makamba nilimuona wakati wa utawala wa Kikwete akiwa ni mmoja wapo wa wasaidizi wa Rais Kikwete.
Mwenye ushahidi wa wazi kuhusu mabaya yake atuwekee hapa ingawa mimi namuona ni mtu humble, focused na mwenye uvumilivu.
Unajidanga sana kijana Makamba jr ni mmoja wa vijana wa hovyo kuwai kutokea enzi za JK walikuwa miungu watu wakifuta mtoto wa JK na nape JrKampeni za mitataoni zinaendeshwa na genge moja linalotaka urais. Wanamuona January Makamba kama tishio. Hivyo wanataka kumdhoofisha kwa kuwaaminisha watu kuwa hafai. Na wengine wanafuata mkumbo bila kujua kilichoko nyuma ya hizo tuhuma.
January ni presidential material.
Exactly,ni mwizi anayejisikia. Unapojisikia basi uwe na kitu kichwani