Chubwi...!

Jul 21, 2011
25
3
Hodi hodi jamani jamvini naingia
salam natoa kwa wote mliotangulia
JF ndio makazi mwanajamii kwangu mwana kiwia
Sihitaji kuazima jamvi kwani sina wa kumlilia
Ninachotaka ni mada za moto kuchangia
 
Karibu sana SC jisikie uko nyumbani kabisa. Kwenye hiyo friji nyuma yako kuna vinywaji vya kila aina ikiwemo Togwa :) jisikie huru kuchangamkia kinywaji ukipendacho, lakini hiyo avatar yako niaje!!!? karibu sana
 
Karibu jamvini na naomba badili avatar yako iwe hii:

tear%20drop.jpg
 
Do, yani inatumika kuzamisha vitu!??
Hii matumizi yake ni nini?
na mbona unampatia avatar kama hiyo aisee..

Hiyo hutumika kufunga mshipi wa kuvulia samaki ili uzame chini na usielee. Nampa hiyo avatar kwa kuwa ndio jina lake "Chubwi" sijakisia.
 
Da Faiza nakutafuta nikupe zawadi hiii! .. nakuatakia week end njema!

Last edited by a moderator:
Hiyo hutumika kufunga mshipi wa kuvulia samaki ili uzame chini na usielee. Nampa hiyo avatar kwa kuwa ndio jina lake "Chubwi" sijakisia.
\

Mh! haya bwana kwa nyie wa mwambao mtaelewana vyema...mimi najua jembe, shame, fyekeo, rato, reki, na vifananavyo na hivyo!
 
Karibu sana SC jisikie uko nyumbani kabisa. Kwenye hiyo friji nyuma yako kuna vinywaji vya kila aina ikiwemo Togwa :) jisikie huru kuchangamkia kinywaji ukipendacho, lakini hiyo avatar yako niaje!!!? karibu sana

Thanks mate, bahati mbaya vinywaji vyote vya moto.. au kwenu hakuna umeme?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom