Naam,
Na nyingine zinaweza kuwa proved kuwa hazitakuwa wrong.
Kwa hiyo, bado unazunguka palepale hujanibu swali la msingi.
Hiyo hoja yako haina uzito bado unazunguka mbuyu palepale.
Sasa unaposema hili litakuwa hivi, unajuaje hiyo habari yako itakuwa kweli hivyo na si fantasy tu?
Mfano mtu anaposema tutaweza kuwa na time travel ya kurudi nyuma katika muda, tutajuaje hilo jambo litawezekana kweli na si fantasy tu ambayo inapingana na sheria za fizikia kama za Einstein's Relativity zinazosema hakuna kitu chenye uzito kitakachoweza kurudi nyuma katika muda kwa sababu hakitaweza kuzidi spidi ya mwanga au ku manipulate spacetime/wormholes successfully?
Hujajibu swali, unapiga chenga kwa hoja ya "hatujui mambo yatakuwaje huko mbele, pengine itawezekana".
Well, kama hatujui mambo yatakuwaje huko mbele, basi pia hatujui kuwa unalosema litawezekana litawezekana.
Sasa unajuaje litawezekana?