Christine Shusho ulipofikia ni pabaya......

huo ubaya mbona siuoni ndugu....? au kwa sababu amechangamka sana.....?
 
Mkuu ni meiangalia hiyo mara mbili sioni tatizo!!!
Umekereka na nini? ile sketi yake inayobanabana!! huo utakuwa ni udhaifu wako tu....nini? Zile pesa anazotuzwa!
Jamani, msiwe hivyo inawezekana mkawa mnatumiwa na yule mwovu bila kujijua!!

Sasa ungeona mauno ya Rebecca Malope na vijana wake ungesemaje??
 
tusimulie basi mdada!!!!

ni kwamba sijui wanafanya mazoezi au vipi....lakini wanaonekana wamefurahi......wanashake body zao kidogo.....
naona mtoa mada anataka kusema....kwa nini wanashake....wakati wanaimba nyimbo ya kumsifu Mungu....

kuna nyimbo nimewahi kusikia ya kumsifu Mungu inasema......can you shake that bu** Jesus gave you....
sasa hapa sijui tunasemaje......hii kidogo hata mimi ilinistua.....

mara mafuvu,mara kafikia pabaya,mbona mnamfatilia sana mama wa watu.
Japo hapa kwenye hii video mmmmh sisemi sana anajijua yeye na Mungu wake
 
ni kwamba sijui wanafanya mazoezi au vipi....lakini wanaonekana wamefurahi......wanashake body zao kidogo.....
naona mtoa mada anataka kusema....kwa nini wanashake....wakati wanaimba nyimbo ya kumsifu Mungu....

karibu nitaunganisha dot, mdada unajua huwezi kushangaza ukishake kichwa, miguu, mikono na mabega, ukishake katikati ya mwili wako ujiandae kutizamwa kwa jicho la wakubwa.
 
Mkiona kwaya ya Nakonde Zambia wanakata mauno kama akina Aisha madinda sijui mtasemaje?
 
kuna nyimbo nimewahi kusikia ya kumsifu Mungu inasema......can you shake that bu** Jesus gave you....
sasa hapa sijui tunasemaje......hii kidogo hata mimi ilinistua.....

Kama unaweza ku-shake those sholders that God gave you, kwa nini usi-shake the pair behind that God gave you
 
mkuu ni meiangalia hiyo mara mbili sioni tatizo!!!
Umekereka na nini? Ile sketi yake inayobanabana!! Huo utakuwa ni udhaifu wako tu....nini? Zile pesa anazotuzwa!
Jamani, msiwe hivyo inawezekana mkawa mnatumiwa na yule mwovu bila kujijua!!

sasa ungeona mauno ya rebecca malope na vijana wake ungesemaje??
na wewe sasa jamaa yalikuwa maoni yake yametoka wapi hayo yakutumiwa na muovu,
ndo ninyi mkiona nyoka mnasema mnalogwa, sijaona ubaya wa video hii but wewe ndo umenikwaza na maneno yako!
 
wakubwa naheshimu kuwa ninyi mnaona kinachofanyika katika video ni sahihi.............Haya ni mambo ya kiimani......mfano sabato hawaruhusu uchezaji wa kujitikisa kwa aina yeyote ile.........mim binafsi wimbo huu naupenda sana lakini hii clip sijaipenda........ni vyema wanaomtumikia Mungu wakawa humble na kujitofautisha na twana pepeta na Fm academia.........kinachofanyika katika hii video hakijanifanya nihisi uwepo wa roho mtakatifu katika eneo hilo..........mim sikubaliani na mauno na kutoonyesha unyenyekevu wakati wa kuimba nyimbo zinazomhusu Mungu.....kama kwaya ya zambia na Rebeca malope wanakata mauno hiyo hainifanyi nione vitendo hivyo ni sawa..........siku wakitangaza kuwa kwenye hizo kwaya kuna mashoga na wasagaji na wao wanaona sawa mtataka na sisi pia tuone ni sawa...........mim sio mlokole wala na ni miongoni wanaompenda Shusho lakini ninamuogopa Mungu,najua anastahili kuheshimiwa na kamwe sio kuimbiwa na watu wanaobehave kama kundi la wavuta bangi wasio onyesha chembe ya kumuheshimu............huu ni mtizamo wangu..................na pia nina heshimu mitazamo yenu wakuu mnaoona siko sahihi kuona anachofanya sio sahihi........................!
 
upeo tu unatofautiana.
kwani mfalme daudi alipomchezea Mungu mbele ya sanduku la agano hadi nguo zikamdondoka alikuwa anatumia slow motion?
mbona hamumsemi rose muhando kwa kucheza anatikisa hadi mawigi, ama kwa vile dada wa watu mrembo na ana shape yenye mvuto? msifanye watu wajiskie kumtumikia mungu ni ushamba na uchafu, watu kama hawa wananifanyaga najiuliza 'why not me?' kama mrembo, mwenye pesa, anampenda Mungu i can do that too...
 
Mkuu ni meiangalia hiyo mara mbili sioni tatizo!!!
Umekereka na nini? ile sketi yake inayobanabana!! huo utakuwa ni udhaifu wako tu....nini? Zile pesa anazotuzwa!
Jamani, msiwe hivyo inawezekana mkawa mnatumiwa na yule mwovu bila kujijua!!

Sasa ungeona mauno ya Rebecca Malope na vijana wake ungesemaje??

Usiandikie mate na wino upo, tuwekee tuone.
 
Back
Top Bottom