Isaya Nehemia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 555
- 452
Kesi gani hiyo haijaisha mpaka unazeeka mkuu?Huyu ndo anafaa. Kesi toka nipo kijana mpaka Leo hii ni mzee haijaisha. Bora yeye
Kesi gani hiyo haijaisha mpaka unazeeka mkuu?Huyu ndo anafaa. Kesi toka nipo kijana mpaka Leo hii ni mzee haijaisha. Bora yeye
Inawezekana ikawa kweli au isiwe kweli piaHuyo Mbunge alikuwa wa Kigoma Mjini Hayati Rajab Mbhano baada ya ugomvi Mbunge alipata ajali akafariki 1994 baada ya hapo Watoto kadhaa wakapukutika
Hizo habari ni za uongo na ni za kutunga hakuna uthibitisho wowote kuhusiana na hilo,yule wa kwanza alisema ni bungeni ndo alifanya mambo hayo,wa pili kasema ni Tanga ndo walimletea chai sijui vikombe vikawa vinaninginia hewani na watatu ndo huyo anasema ni Kigoma ndo mambo hayo yalitokea sasa hata hujui umwamini nani au uamini lipi? halafu huyo mbunge mwenyewe wa Kigoma alifariki kwa presha mwaka 1993 Dar es salaam na wala si mwaka 1994 kama alivyosema,binadamu ni hodari sana wa kuzua na kutunga stori.Inawezekana ikawa kweli au isiwe kweli pia
Ulichokiandika
Shamba langu dhidi ya mwekezaji. Ni kupigwa tarehe tu, Mara hakimu kaenda kusoma, mara wengine kujitoa, we acha tuKesi gani hiyo haijaisha mpaka unazeeka mkuu?
lizaboni mpenzi upo hai kweli au ulisha RipAna hofu ya kutumbuliwa kwa vile madudu aliyofanya ni makubwa
Si mchezoHuyo Mbunge alikuwa wa Kigoma Mjini Hayati Rajab Mbhano baada ya ugomvi Mbunge alipata ajali akafariki 1994 baada ya hapo Watoto kadhaa wakapukutika
Mzindakaya alisoma ALAMA kuwa MAGUFULI anapanga SAFU ya WASUKUMA hivyo HATAMTEUA akaona AJIUZULU badala ya KUACHWABaada ya Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na kuanza kwa kasi kubwa, tumeshuhudia viongozi wengi wakiondolewa kwenye nyadhifa zao na wengine kujiondoa wenyewe kabla ya makubwa hayajawafika.
Viongozi wengi waliondolewa katika nyadhifa zao ni kuhusu tuhuma za ufisadi na kushindwa kutekeleza kile ambacho walipaswa kukifanya, kwa upande mwingine wameondolewa baada ya muda wao kumalizika.
Katika hali ya kushangaza, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Shirika la maendeleo la Taifa (NDC) Dkt Chrisant Mzindakaya amemuomba Rais Magufuli amruhusu kuachia wadhifa huo aliotumikia kwa miaka sita sasa.
Hili linaweza kuzua maswali mengi, je kuna tatizo kwenye shirika hilo? au kasi imekuwa kubwa? au anataka kupumzika na kupisha nafasi kwa mtu mwingine.?
Dkt Mzindakaya aliteuliwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo julai 8.2011.