Chrisant Mzindakaya amuomba Rais Magufuli ruhusa ili ajiuzulu. Je, kasi ya awamu ya tano imemtisha?

Huyo Mbunge alikuwa wa Kigoma Mjini Hayati Rajab Mbhano baada ya ugomvi Mbunge alipata ajali akafariki 1994 baada ya hapo Watoto kadhaa wakapukutika
Inawezekana ikawa kweli au isiwe kweli pia

Ulichokiandika
 
Inawezekana ikawa kweli au isiwe kweli pia

Ulichokiandika
Hizo habari ni za uongo na ni za kutunga hakuna uthibitisho wowote kuhusiana na hilo,yule wa kwanza alisema ni bungeni ndo alifanya mambo hayo,wa pili kasema ni Tanga ndo walimletea chai sijui vikombe vikawa vinaninginia hewani na watatu ndo huyo anasema ni Kigoma ndo mambo hayo yalitokea sasa hata hujui umwamini nani au uamini lipi? halafu huyo mbunge mwenyewe wa Kigoma alifariki kwa presha mwaka 1993 Dar es salaam na wala si mwaka 1994 kama alivyosema,binadamu ni hodari sana wa kuzua na kutunga stori.
 
Hahahaha!!! Kweli kiboko inamana hakuna walio kua wamefikisha umri wa KUSTAFU???? Katka hii awamu ya TANO??
 
Baada ya Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na kuanza kwa kasi kubwa, tumeshuhudia viongozi wengi wakiondolewa kwenye nyadhifa zao na wengine kujiondoa wenyewe kabla ya makubwa hayajawafika.

Viongozi wengi waliondolewa katika nyadhifa zao ni kuhusu tuhuma za ufisadi na kushindwa kutekeleza kile ambacho walipaswa kukifanya, kwa upande mwingine wameondolewa baada ya muda wao kumalizika.

Katika hali ya kushangaza, Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Shirika la maendeleo la Taifa (NDC) Dkt Chrisant Mzindakaya amemuomba Rais Magufuli amruhusu kuachia wadhifa huo aliotumikia kwa miaka sita sasa.

Hili linaweza kuzua maswali mengi, je kuna tatizo kwenye shirika hilo? au kasi imekuwa kubwa? au anataka kupumzika na kupisha nafasi kwa mtu mwingine.?

Dkt Mzindakaya aliteuliwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo julai 8.2011.
Mzindakaya alisoma ALAMA kuwa MAGUFULI anapanga SAFU ya WASUKUMA hivyo HATAMTEUA akaona AJIUZULU badala ya KUACHWA
 
Back
Top Bottom