Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa Ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi...

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa Ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona...

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao...

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.... Tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "Sea Clif", na malipo kufanywa kupitia BOA Bank

Hata kama zingekuwa 20 ila 'HAPA KAZI TU' porojo peleka kwa mbowe.
 
Nguvu ya umma mara zote haishindwi. Nguvu ya dola hushinda kwa muda tuuuh.
Sikia yanayoendelea Bokina Faso just street young and old men and women without arms and war commanders wamewasimamisha magenerali wa mapinduzi ya kupinga nguvu ya umma (The General is now hiding in a witch doctor hut in the village). Sisi sote we need to watch out. UKAWA kaza boot kufikia umma kwa wingi sana kwa kadri inavyowezekana badala ya kupoteza muda na wanaotafuta ushindi kwa msaada wa dola.
 
Ushahidi wa BOA Bank upo na nyaraka ninazo... Sema leo nikiweka hapa Mods wataunganisha na uzi wa mwanzo... Kwaiyo lazima twende nao sawa tu ili nikiweka usimame kama uzi kamili

Mkuu peleka mwanahalisi forums, kule watu watapata nafasi ya kuusoma, hawa nao ni kama Twaweza tu siku hizi...ianzishie kule kiongozi maana CCM inakera mpaka naona kama uchaguzi uwe leo tu!!
 
Mtanunua kila taasisi mwisho wa siku mtashindwa kununu umma wa watanzania na apo ndio mabadiliko yatakuaa lazima lowasa ndio rais ajaye
 
wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi.

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona.

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao.

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "sea clif", na malipo kufanywa kupitia boa bank.

noted boss,#we are ready 2015 for the change
 
mkuu peleka mwanahalisi forums, kule watu watapata nafasi ya kuusoma, hawa nao ni kama twaweza tu siku hizi...ianzishie kule kiongozi maana ccm inakera mpaka naona kama uchaguzi uwe leo tu!!
kweli kabisa mkuu inabidi tubadilishie gear angani tuwaachiye hii jamii forum yao kama wakiendelea na mambo ya twaweza maana kwa vyovyote vile sisi nguvu ya umma ndiyo tunawapa nguvu na siyo hayo mazuzu ya ccm
 
UKAWA mnashangaza huwa siwaelewi kabisa sijui mnaakili za samaki au za kuku? Mnapouliza kuhusu matumizi mabovu CCM na kukosekana kwa mishahara kwa watumishi wa umma kwa nini msimuulize Sumaye na Lowasa waliokuwa mawaziri wakuu kwa miaka 13 ndani ya CCM kama watendaji wakuu na leo mnawaona ndio wafalme wenu hamjisikiii kuwa Dr. Slaa kawaeleza ukweli kuwa mmbeba choo mnakimbia nacho huku mkijiaminisha kuwa mnanukia perfume?
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

Nyie mnazotumia kuwalipa wasanii na kusomba watu pia kuwalipa watu wafanye tafiti feki mtazirudisha vipi?
 
UKAWA mnashangaza huwa siwaelewi kabisa sijui mnaakili za samaki au za kuku? Mnapouliza kuhusu matumizi mabovu CCM na kukosekana kwa mishahara kwa watumishi wa umma kwa nini msimuulize Sumaye na Lowasa waliokuwa mawaziri wakuu kwa miaka 13 ndani ya CCM kama watendaji wakuu na leo mnawaona ndio wafalme wenu hamjisikiii kuwa Dr. Slaa kawaeleza ukweli kuwa mmbeba choo mnakimbia nacho huku mkijiaminisha kuwa mnanukia perfume?

Nani kakwambia Slaa naye ni wa kusikilizwa, msikilizeni nyie tu.
 
UKAWA mnashangaza huwa siwaelewi kabisa sijui mnaakili za samaki au za kuku? Mnapouliza kuhusu matumizi mabovu CCM na kukosekana kwa mishahara kwa watumishi wa umma kwa nini msimuulize Sumaye na Lowasa waliokuwa mawaziri wakuu kwa miaka 13 ndani ya CCM kama watendaji wakuu na leo mnawaona ndio wafalme wenu hamjisikiii kuwa Dr. Slaa kawaeleza ukweli kuwa mmbeba choo mnakimbia nacho huku mkijiaminisha kuwa mnanukia perfume?

empty minded.
 
Kipindi cha uwaziri mkuu wa Sumaye hali ilkuwa bora na wafanyakazi walikuwa na hadhi. Halafu hakuwa mtu wa kulialia kama mamba mabee
 
Back
Top Bottom