Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Vijijini tulishafanya maamuzi siku nyingi kama kuja mje tu kutalii na wanafunzi wazijue chopa zikoje
 
Wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa Ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi.

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa Ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona.

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao.

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.Tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "Sea Clif", na malipo kufanywa kupitia BOA Bank.

Mbwembwe za chopa tushazizoea.Alphonce mawazo pia katumia katika operation delete ccm na akafeli.chopa zimekua kama chai maharage tu
 
Wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa Ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi.

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa Ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona.

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao.

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.Tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "Sea Clif", na malipo kufanywa kupitia BOA Bank.
Chopa Tano great zitavuta watu vijijini ila sidhani itaongeza wapiga kura ila itaconfirm tu watu wanachojua
 
lowassa atoshaa. makamanda tusisahau kuchangia kampeni.
 
UKAWA mnashangaza huwa siwaelewi kabisa sijui mnaakili za samaki au za kuku? Mnapouliza kuhusu matumizi mabovu CCM na kukosekana kwa mishahara kwa watumishi wa umma kwa nini msimuulize Sumaye na Lowasa waliokuwa mawaziri wakuu kwa miaka 13 ndani ya CCM kama watendaji wakuu na leo mnawaona ndio wafalme wenu hamjisikiii kuwa Dr. Slaa kawaeleza ukweli kuwa mmbeba choo mnakimbia nacho huku mkijiaminisha kuwa mnanukia perfume?

Wewe chukua hiyo perfume sasà unukie manukato mazuri. Sisi acha tunuke mavi time'll come utayapenda hayo mavi
 
Hima wasomi wasilianeni na ndugu waliopo vijijini wamchague lowassa na wagombea wa ukawa tukomboe tanzania.

Yaani eti wamchague nusu mtu nusu mfu? roboti lisilojitikisa? hata awekewe bastola ni bora iwe hivyo
 
Haaghaaaaa!!!!!!!!!! wewe wa ajabu kweli yani,!!! unashangaa kusogeza choo chumbani wakati ndio style ya ujenzi wa kisasa? inaitwa Master Bedroom au au self contained room. upoooo? viva UKAWA:welcome::welcome::welcome:😛lane: LOWASAAAAAAAAAAAAAAA
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

Peleka ujinga huko Huna adabu gamba ww zile billion 150 mtarudishaje
 
UKAWA mnashangaza huwa siwaelewi kabisa sijui mnaakili za samaki au za kuku? Mnapouliza kuhusu matumizi mabovu CCM na kukosekana kwa mishahara kwa watumishi wa umma kwa nini msimuulize Sumaye na Lowasa waliokuwa mawaziri wakuu kwa miaka 13 ndani ya CCM kama watendaji wakuu na leo mnawaona ndio wafalme wenu hamjisikiii kuwa Dr. Slaa kawaeleza ukweli kuwa mmbeba choo mnakimbia nacho huku mkijiaminisha kuwa mnanukia perfume?

UKAWA wana akili zote sio za hao kuku na samaki peke yake!

Walipoulizwa Sumaye na Lowasa maswali yako, walisema kila kitu wanachokifanya, lazima maelekezo yatoke mamlaka ya juu!
Kwani hukumbuki maneno ya Pinda bungeni kuwa, ingekuwa amri yake angeshamfukuza Jairo kazi, lakini anangojea mamlaka ya juu irudi kutoka nje ya nchi ilipokuwa! Mamlaka ya juu ilipokuja, kuna hatua yeyote aliochukuliwa Jairo? Je, Mh Pinda ana lawama yeyote kwenye lile tukio!?

Dr Slaa hakuwa na tatizo, ila you gave him an offer he could't refused! Ataongea mnachokitaka mkuu na kuishi kama digidigi!
 
Back
Top Bottom