Mbwembwe za chopa tushazizoea.Alphonce mawazo pia katumia katika operation delete ccm na akafeli.chopa zimekua kama chai maharage tu
ccm imejimaliza yenyewe isitafute mchawi , kampeni zao za kukusanya wasanii wachovu zimewaponza , UKAWA mwendo wa kisasa sana !
Ushahidi wa BOA Bank upo na nyaraka ninazo... Sema leo nikiweka hapa Mods wataunganisha na uzi wa mwanzo... Kwaiyo lazima twende nao sawa tu ili nikiweka usimame kama uzi kamili
UKAWA mnashangaza huwa siwaelewi kabisa sijui mnaakili za samaki au za kuku? Mnapouliza kuhusu matumizi mabovu CCM na kukosekana kwa mishahara kwa watumishi wa umma kwa nini msimuulize Sumaye na Lowasa waliokuwa mawaziri wakuu kwa miaka 13 ndani ya CCM kama watendaji wakuu na leo mnawaona ndio wafalme wenu hamjisikiii kuwa Dr. Slaa kawaeleza ukweli kuwa mmbeba choo mnakimbia nacho huku mkijiaminisha kuwa mnanukia perfume?
kweli kabisa mkuu inabidi tubadilishie gear angani tuwaachiye hii jamii forum yao kama wakiendelea na mambo ya twaweza maana kwa vyovyote vile sisi nguvu ya umma ndiyo tunawapa nguvu na siyo hayo mazuzu ya ccm
Mnatia huruma sana. Hadi chakuandika unakosa poleYaani eti wamchague nusu mtu nusu mfu? roboti lisilojitikisa? hata awekewe bastola ni bora iwe hivyo
Mtanunua kila taasisi mwisho wa siku mtashindwa kununu umma wa watanzania na apo ndio mabadiliko yatakuaa lazima lowasa ndio rais ajaye
Nguvu ya umma mara zote haishindwi. Nguvu ya dola hushinda kwa muda tuuuh.
Sikia yanayoendelea Bokina Faso just street young and old men and women without arms and war commanders wamewasimamisha magenerali wa mapinduzi ya kupinga nguvu ya umma (The General is now hiding in a witch doctor hut in the village). Sisi sote we need to watch out. UKAWA kaza boot kufikia umma kwa wingi sana kwa kadri inavyowezekana badala ya kupoteza muda na wanaotafuta ushindi kwa msaada wa dola.
Vijijini tulishafanya maamuzi siku nyingi kama kuja mje tu kutalii na wanafunzi wazijue chopa zikoje
Sanaaaaaa....!!!
#Ocampo four... ubarikiwe sanaaaa...!!!
CCM itakufa kwa kusambaratika....!!!
Lowassa, UKAWA kama RADI vile...!!!
weweeee... hapana chezea...!!!
👏👏👏✌✌✌🙌🙌🙌🙌
Safiiii sanaaa....!!
sabodo alilazimika kutoa nyingi zaidi CCM na kutoa kidogo sana chadema, hiyo ndiyo salama yake.Mbona SABODO alitokezea adharani na hakubughudhiwa na DOLA???. Nataka maelezo ya kina.
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gaSelf contained AIFA? je, fedha wanazotoa SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!
Hivi yupo nchini? Nasikia aliondoka kuepuka michango ya lazima kwa wanasiasa.Mbona SABODO alitokezea adharani na hakubughudhiwa na DOLA???. Nataka maelezo ya kina.
Ushahidi wa BOA Bank upo na nyaraka ninazo... Sema leo nikiweka hapa Mods wataunganisha na uzi wa mwanzo... Kwaiyo lazima twende nao sawa tu ili nikiweka usimame kama uzi kamili
Mbona SABODO alitokezea adharani na hakubughudhiwa na DOLA???. Nataka maelezo ya kina.
Mkuu tupo imara kuhakikisha watanzania wanalipata neno la mabadiliko ya kweli ili muda ukifika tufanye maamuzi murua kwa kuiondoa ccm