Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Maji yamefika shingoni?

Nadhani bado mna kumbukumbu za chopa tatu, kata tatu.

Hizi ni kampeni za zima moto!

Wanadhani watu bado wanashangaa chopa zao.
Na wajue kabisa watoto wa primary hawapigi kura.
 
Harambee imeleta neema!! Chopa tano, kumbe wapenzi wa ukawa mpo vizur kwenye uchangiaji.
 
Mkuu tupo imara kuhakikisha watanzania wanalipata neno la mabadiliko ya kweli ili muda ukifika tufanye maamuzi murua kwa kuiondoa ccm
Mmawia msalimia Ocampo four
maana watu wake wenyewe wa chopa kelele zote hizo bado wanalala kwenye mikutano Je Ikulu
Ikulu si mahali a Wagonjwa
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • Sumaye na Lowassa wanalala.jpg
    Sumaye na Lowassa wanalala.jpg
    25.9 KB · Views: 1,242
Hivi si ni Ccm wamesema ukawa wamefilisika hawana hela kampeni ? Hizi chopa tano Lumumba ndio wamezilipia ??
 
Wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa Ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi.

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa Ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona.

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao.

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.Tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "Sea Clif", na malipo kufanywa kupitia BOA Bank.

Wastage of money. Lowasa is a dying horse! Watu wengi tumewashtukia Ukawa wako kimaslahi zaidi.
 
Wastage of money. Lowasa is a dying horse! Watu wengi tumewashtukia Ukawa wako kimaslahi zaidi.

Hujielewi.... Hata Kenya, Zambia, Nigeria, Senegal, Malawi walipotaka mabadiliko kuna wapuuzi kama wewe walibeza wenzao
 
Kwa ss hali ya EL n ngumu sana kichumi, hawana uwezo was kuweka hata chopa 2
 
Mkuu nakuunga mkono.hawa ccm hawajitambui pesa wanazotumia kununua with.kulipa wasanii ili uwanja ujae.kuhonga taasisi kama twaweza.kuhangaika na mabango nchi nzima.fedha hizo zingetumika kutoa Huduma stahiki kwenye mashule kukawa na madawati.Huduma za.afya na major zikapatikana kwa wingi.Barbara zikaboreshwa nchi nzima.mbona sasa wangengoja kuapishwa.waache kuharibu fedha wapishe wengine wajaribu tuone mabadiliko.
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

Je! Vip sisiemu na 140 billion za kuibia kura

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Mmawia msalimia Ocampo four
maana watu wake wenyewe wa chopa kelele zote hizo bado wanalala kwenye mikutano Je Ikulu
Ikulu si mahali a Wagonjwa
attachment.php
attachment.php

Ndio maana mmeanza kupiga push-up majukwaani kuonesha mko fit sio?! ikulu hawabebi zege ikulu wanatoa dira ya maendeleleo na kumonitor utekelezaji as simple as that!!
 
Sasa kiongozi mbona mnatukosea hayo mambo ya kiushahidi?? "iliyotengenezwa sea clif" iliyofanyika malipo "BOA Bank" hebu mtupe hayo maushahidi tafadhali

"Kama hakuna ushahidi wafunge midomo yao na kukaa kimya"
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

"Utaongea sana, lakini kipigo cha mwaka mtakipata Oct 2015 maccm wanga nyie"
 
Back
Top Bottom