Rungwe88
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 444
- 887
Kuna msemo wa kiswahili unaosema kwamba
"vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno"
pia Kuna msemo mwingine unaosema kwamba
" mtu kamili anabaki na amani endapo akilipa kisasi ikiwa alikosewa makusudi"
Sasa nikianza na msemo wa kwanza ni kwamba vitendo vya raisi aliyepo yani samia vinaonesha kabisa hautaki muungano Kati ya Tanganyika na zanzibar tofauti na maneno yake anayoongea.
Vifuatavyo ni vitendo vinavyoonesha samia anajiandaa kuuvunja muungano
1. Kuuza bandari za Tanganyika pekee
Huo mkataba wa DP World watanganyika wameukataa kuanzia taasisi za dini, vyama vya siasa, asasi za kiraia, wanaharakati, wananchi wakawaida n.k
Kitu Cha ajabu ni kwamba bandari zilizouzwa ni za Tanganyika pekee ila zanzibar hajauza.
2. Kufukuza kabila la masai kwenye maeneo yao ya asili ikiwemo Ngorongoro na maeneo hayo kuuziwa waarabu.
Masai wamelalamika vya kutosha lakini hawajasikilizwa na mwisho wamehamishiwa kinguvu wilayani Handeni mkoani Tanga.
Ndani ya utawala wake hatujasikia eneo hata moja la zanzibar likiuzwa kwa wawekezaji wa kiarabu n.k
3. Maelfu ya mauaji ya watanganyika 29 October 2025 na siku zilizofuata.
Kitu Cha ajabu ni kwamba hajawai kuomba msamaha kwa matukio ya mauaji Yale, kila alipopata jukwaa la kuongea alizidi kukejeli, dhihaka, lawama, dharau n.k kwa watanganyika na ni kama alijiandaa kufanya mauaji aina ile, ila Cha kushangaza ni kwamba hatujasikia vifo zanzibar kipindi hicho.
Jambo la kusikitisha zaidi akasema mbona hata zanzibar mauaji kama hayo yalishawai tokea maana yake ni kwamba alikuwa analipa kisasi Cha wazanzibar kwa watanganyika.
4. Kuteka, mauaji, kufira n.k kunakofanywa dhidi ya watanganyika.
Vitendo hivyo vinafanywa kwa viongozi wa dini, wanasiasa, wanasheria raia wa kawaida wanaothubutu kupaza sauti dhidi ya matendo mabaya ya samia kama ufisadi, kutetea utawala wa sheria, mauaji n.k
Chakusikitisha ni kwamba matendo haya yanafanywa asilimia tisini ni dhidi ya watanganyika ila zanzibar hawaguswi.
5. Deni la taifa kuongezeka kusiko kawaida.
Kipindi Cha utawala wake deni la taifa limeongezeka kwa kiasi kikubwa kuliko maraisi wote ili Hali yeye Bado hajamaliza hata miaka kumi, maana yake Bado ataendelea kukopa zaidi na zaidi.
Ijulikane deni la taifa mlipaji mkubwa ni Tanganyika.
Kitu Cha kushangaza maendeleo yanayofanyika katika huduma za kijamii, miundombinu, Kilimo n.k haviendani na mikopo mikubwa inayokopwa, wakati huo huo zanzibar ndio mnufaika mkubwa wa mikopo hiyo , tumeona miradi mikubwa ya kimkakati ikiendelea kufanywa zanzibar kuliko wakati wowote ule.
6. Kuendelea kuteka, kufunga na kunyanyasa wanasiasa wa Tanganyika wakiwemo kutoka vyama vya Chadema, CCM wenzake n.k endapo wakionesha kumpinga kwa ufisadi, uongozi mbovu, kuteka watu n.k
Kitu Cha kushangaza ni kwamba asilimia tisini wanaofanyiwa vitendo hivyo ni watanganyika mfano ni Tundu Lisu, Humphrey Pole Pole, Emanuel Nchimbi, Tulia Mwansasu, Job Ndugai n.k
Sasa hayo ni baadhi ya matendo anayofanya makusudi kabisa dhidi ya watanganyika, matendo hayo yanayoonesha samia anajiandaa kuuvunja muungano rasmi sababu hajali Wala kujutia endapo yanapotokea na yakiendelea kutokea upande wa Tanganyika.
Nitaelezea msemo wa pili unaosema kwamba
" mtu aliyekamilika anabaki na amani endapo atalipa kisasi ikiwa alikosewa kwa makusudi bila kuombwa msamaha"
Hiyo ndio asili ya binadamu kwamba endapo utamkosea makusudi bila kumuomba msamaha atatafuta namna ya kulipa kisasi iwe kwa kuchelewa au kuwahi.
Hiyo haijalishi jinsia iwe mwanaume au mwanamke wote wana hiyo asili.
Sasa, matendo ya hovyo anayofanya Samia makusudi kabisa dhidi ya watanganyika na ni kama anakomoa watanganyika, je inatoa tafsiri kwamba anajiandaa kuuvunja muungano hivyo hatakua na wasiwasi Wala hatia akimaliza awamu yake sababu kikawaida ni kwamba lazima watanganyika watalipa kisasi iwe kwake, ndugu zake au kwa wazanzibar kila itakapopatikana nafasi na huo ndio ukweli.
Kwa maana hiyo Samia anajua Hilo na ndio maana anafanya mambo hayo ya hovyo dhidi ya watanganyika kwa sababu anajiandaa kuuvunja muungano rasmi baina ya Tanganyika na zanzibar.
Nitarudi badae