Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa Ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi.

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa Ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona.

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao.

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.Tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "Sea Clif", na malipo kufanywa kupitia BOA Bank.
 

Attachments

  • 1442920189862.jpg
    1442920189862.jpg
    53.6 KB · Views: 4,394
Hivi inakuwaje Ccm na serikali yake wanapesa zakuhongailashulw hamnamadawati walimu hawana mishahara, hosipitali hakuna dawa tanesco wameahindwa kujiendesha!!!! Jamani tuamke!!!!!!
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

Kwani unajua mchango umefika ngapi mpaka sasa, wewe gamba!
 
Sasa kiongozi mbona mnatukosea hayo mambo ya kiushahidi?? "iliyotengenezwa sea clif" iliyofanyika malipo "BOA Bank" hebu mtupe hayo maushahidi tafadhali
 
Sasa kiongozi mbona mnatukosea hayo mambo ya kiushahidi?? "iliyotengenezwa sea clif" iliyofanyika malipo "BOA Bank" hebu mtupe hayo maushahidi tafadhali

Ushahidi wa BOA Bank upo na nyaraka ninazo... Sema leo nikiweka hapa Mods wataunganisha na uzi wa mwanzo... Kwaiyo lazima twende nao sawa tu ili nikiweka usimame kama uzi kamili
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

Mabilioni yaliyo gharamia utafiti feki mmeyatoa wapi na mtayalipaje?
 
Wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa Ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi...

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa Ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona...

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao...

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.... Tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "Sea Clif", na malipo kufanywa kupitia BOA Bank

Mkuu tupo imara kuhakikisha watanzania wanalipata neno la mabadiliko ya kweli ili muda ukifika tufanye maamuzi murua kwa kuiondoa ccm
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

bora hao wanaosaidia mabadiliko kuliko hao wanaotumia kodi zetu kununua wapinzani na kulipia fiesta na kusomba watu mikutanoni pamoja na kuvalisha watu kapelo na tshirts zilizopewa jina la kampeni ya mgombea urais makufuli.
 
Back
Top Bottom