Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

Acha kupiga mayowe, tulia msumari uingie! mabadiliko ni lazma
 
Maji yamefika shingoni?

Nadhani bado mna kumbukumbu za chopa tatu, kata tatu.

Hizi ni kampeni za zima moto!
 
Wenzetu wakiwa wanahangaika kununua taasisi za kitafiti ili wapike matokeo na kutoa matokeo feki, kwa upande wa Ukawa priority yao imekuwa ni kuwafikia wananchi wa mijini na vijijini zaidi.

Siku chache zijazo tarehe 1.10.2015 umoja wa Ukawa watafanya mashambulizi ya kufa mtu kutoka kila kona ya nchi hii... Zaidi ya chopa 5 zipo tayari kwa mashambulizi ya kila kona.

Kwa siku hizo ni wazi kila mwananchi popote pale alipo hasa vijijiji watapata fursa ya kusikiliza "sauti ya mabadiliko" kutoka kwa wapenda mabadiliko wenzao.

Mwisho, nitoe wito kwa wadau wote kuongeza nguvu na hamasa popote pale walipo ili sauti na ujumbe wa mabadiliko uzidi kuwafikia wananchi wote kwa ujumla wao.Tusipoteze muda kujadili tafiti iliyotengenezwa "Sea Clif", na malipo kufanywa kupitia BOA Bank.

UKAWA kanyaga twende!
 
Mkuu mie almanusura wanitie wazimu na TWAWEZA yao hiyo. Nilitafuta pa kumalizia hasira zangu nikakosa, nikaishia kutokula leo.

TWAWEZA wamenikera Sina wa kumwambia

Mkuu pole sana tunza kichinjio chako ili 25.10 umalize hasira zako kwa kuwachinjia baharini ma ccm
 
26% ya wananchi walisema watamchagua John Magufuli kwa sababu yeye ni “mchapakazi” #SautizaWananchi #.

12% ya wananchi walisema watampigia kura Edward Lowassa kwa sababu yeye ataleta mabadiliko yanayohitajika nchini #SautizaWananchi.

57% ya wananchi wanafikiri kwamba jina la Ukawa litaonekana kwenye karatasi ya kupigia kura #SautizaWananchi.
 
25% ya wananchi walisema kwamba wananajisikia wako karibu zaidi na Chadema kuliko vyama vingine #SautizaWananchi.

62% ya wananchi walisema kwamba wananajisikia wako karibu zaidi na CCM kuliko vyama vingine #SautizaWananchi.

Nusu ya wananchi (49%) wanafikiri Ukawa ni chama cha siasa kilichosajiliwa Tanzania #SautizaWananchi.
 
26% ya wananchi walisema watamchagua John Magufuli kwa sababu yeye ni “mchapakazi” #SautizaWananchi #.

12% ya wananchi walisema watampigia kura Edward Lowassa kwa sababu yeye ataleta mabadiliko yanayohitajika nchini #SautizaWananchi.

57% ya wananchi wanafikiri kwamba jina la Ukawa litaonekana kwenye karatasi ya kupigia kura #SautizaWananchi.

Peleka uongo wenu huko huko kwenu lumumba maana watanzania tumeshaamua lowasa ndiye rais wetu bado kuapishwa.Hatuna mpango tena na chama cha majizi
 
Attachments

  • 1442935473542.jpg
    1442935473542.jpg
    15.1 KB · Views: 223
Peleka uongo wenu huko huko kwenu lumumba maana watanzania tumeshaamua lowasa ndiye rais wetu bado kuapishwa.Hatuna mpango tena na chama cha majizi
57% ya wananchi wanafikiri kwamba jina la Ukawa litaonekana kwenye karatasi ya kupigia kura #SautizaWananchi.
 
Team ya kwanza lowasa ,Sumaye,team ya pili Mbowe mnyika ,team ya Tatu Lema,sugu,team ya nne msigwa ,tundu Lisu team ya tano halima mdee,mwalimu na wenje
 
Ni Zile zinazofadhiliwa na MAFISADI WATANO waliojificha nyuma wasijulikane??? wana maslahi gani kwa TAIFA? je, fedha wanazotoA SASA zitarudije?? tuwe makini TUSISOGEZE CHOO CHUMBANI!!!!

kwani walizotoa kwa td zimerudije?? ha ha ha
 
Back
Top Bottom